Nguvu za macho

Nguvu za macho

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
8,604
Reaction score
5,583
kwa wenye umri wa miaka 30+ nguvu za macho zimeanza kupotea, kuziimarisha tumieni mara kwa mara samaki wadogo toka baharini (hasa bahari za maji chumvi hususan bahari ya hindi) smaki wanaoshauriwa zaidi ni UDUVI na macho hayatapoteza zaidi nguvu ya kuona.
 
he he thanks kwa ushauri mkuu hawa dagaaa ndio wale wauza samaki wanawaita dagaa mchele i hope so
 
Nitaanza kuwatumia sa'ivi ili nikigonga 30 niwe na kinga tayari,, Shukrani mkuu....
 
Back
Top Bottom