Nguvu za miguu; Uwezo wa kupiga mashuti husababishwa na nini?

Nguvu za miguu; Uwezo wa kupiga mashuti husababishwa na nini?

Ni combination ya vitu vitatu
Physically fit
Mentally fit
Mazoezi kwa mujibu wa kocha

Hahaaa mshara huku siyo mambo ya uchawi ngoja nikupe tips ambazo hata iweje lazima litatoka kombora hata pasi kujianza umbali mrefu
1. Mtazame goli kipa aliposimama kama ni mazoezi yako pekee basi tazama goli
2. Mguu usiopiga mpira hakikisha upo sambamba na mpira! Sasa hapa ndipo wakati mwingine utaona wachezaji wanajaribu kushundilia vema mahala ambapo ule mguu usio piga mpira utakanya ili asiteleze kama ile siku beckham anapaisha penati
3. Chagua sehemu ya mguu na aina ya upigaji hapa inasisitizwa sana mguu uukunje kufikia angle 45 hii itakuruhusu utumie eneo la zilipo gidamu hii atafanya mpira wote kuenea vema katika mguu
4 mwili wako uiinamie mpira hapa sasa ndipo penye umuhimu mkubwa sana hii atakufanya shuti kuwa zito na mpira kutembea kwa kima cha mbuzi! ila pale utakapo inua mwili wako basi laweza toka shuti kali ila mpira ukapaa lango!
5. Mwili wako uwe na katika hali ya wastani yaani hapa usijikaze sana wala usijilegeze sana kisha fyatua kombora lako.
Ahsante! i stand to be corrected!
 
Roberto Callos Vs Yusuph Macho Musso,Frank Lamperd.Mazoezi ya nguvu za miguu na lishe bora,mengine ni ziada kama kupiga mashuti ya mara kwa mara mazoezini.
 
Hahaaa mshara huku siyo mambo ya uchawi ngoja nikupe tips ambazo hata iweje lazima litatoka kombora hata pasi kujianza umbali mrefu
1. Mtazame goli kipa aliposimama kama ni mazoezi yako pekee basi tazama goli
2. Mguu usiopiga mpira hakikisha upo sambamba na mpira! Sasa hapa ndipo wakati mwingine utaona wachezaji wanajaribu kushundilia vema mahala ambapo ule mguu usio piga mpira utakanya ili asiteleze kama ile siku beckham anapaisha penati
3. Chagua sehemu ya mguu na aina ya upigaji hapa inasisitizwa sana mguu uukunje kufikia angle 45 hii itakuruhusu utumie eneo la zilipo gidamu hii atafanya mpira wote kuenea vema katika mguu
4 mwili wako uiinamie mpira hapa sasa ndipo penye umuhimu mkubwa sana hii atakufanya shuti kuwa zito na mpira kutembea kwa kima cha mbuzi! ila pale utakapo inua mwili wako basi laweza toka shuti kali ila mpira ukapaa lango!
5. Mwili wako uwe na katika hali ya wastani yaani hapa usijikaze sana wala usijilegeze sana kisha fyatua kombora lako.
Ahsante! i stand to be corrected!
Vyote hivyo bila kuwa imara kimwili na kiroho na mazoezi kwa mujibu wa kocha ni ngumu

Jr[emoji769]
 
Aseee kama kuna namna ya kunifahamisha hilo naomba usisite kufanya hivyo
Easy to mzee. Kiungo unapo kifanyisha mazoezi sahihi, kinajenga nguvu inayo hitajika. Mazoezi sahihi, Lishe, Mapumziko na mawazo chanya utengeneza kiungi husika

Kuna ambao wanafany mazoez, lakini si kwa usahihi wanaishia kuviharibu viungo vyao. Kuvijenga chini ya kiwango.

Lishe, ulaji sahihi, unarutubisha cell za sehem husuka, maana misuli si kingine zaidi ya cell tu, na cell hufanya kazi na kujitengeneza ikipata madini muhimu na virutubisho sahihi. Kinyume na hapo utadumaaa, angalia anayefamya kaz ngumu au mazoezi, haraf ulaji ni mbaya alivyo.

Mapumziko, usingizi ni muhim kwa ajili ya mwili kujijenga upya, kukusanya nguvu, zisichoke na kuchakaaa, nimeongea kwa urahisi san,natumai wanielewa. Hii ninkwa vyote, mwili na akili. Kukiwa na mapumziko, ni kama una restart system.

Mawazo au mtazamo, Chanya. Mawazo yanatawala hisia,na hisia huongoz mfumi wa hormone kwa kiwango kikubwa, ambazo huchochea hufanyaji kazi, either huwe dhaifu au upambane. VILE UNAVYO JIONA NDIVYO UTAVYO KUWA. PLACEBO EFFECT. Wapambanaj wengi hujion ni mashujaaa, hapo ndio utengeneza cheche na kuchochea utendaj kaz.
 
Achana na Msuva, angalia mashuti ya Roberto Carlos na Riise aliyewahi kuchezea Liver, pia ongezea kuangalia mashuti ya aliyekuwa beki wa cameroon Jeremy Fosto Ntijap.
Habari za saa wakuu,

Nini hupelekea mchezaji kupiga mashuti makali (mf: kama Msuva kwenye mechi ya Tz na Egypt )

Nguvu hizo za miguu zinapatikanaje?
 
Habari za saa wakuu,

Nini hupelekea mchezaji kupiga mashuti makali (mf: kama Msuva kwenye mechi ya Tz na Egypt )

Nguvu hizo za miguu zinapatikanaje?
Wee ukijikwaa ile nguvu ya kujirusha chini kama umerushwa fulani inatoka wapi.
 
Muone Physiotherapist, mchawi wa yote ni chakula bora.

Mechanism yenyewe inahitaji uwe na madini ya kutosha mwilini kama Calcium, Potassium, Chloride, Sodium n.k maana haya madini yanawezesha misuli kusinyaa na kutanuka.
Wengine Ni yakuzaliwa/kipaji mf.Ndemla!
 
Dietmar Hamman alikuwa ana mashuti makali sana japo msuli speedo

Carlinhos wa Yanga ana mashuti yasiomithilika japo mguu wake ni kama mkono wa Mwaikimba

Mwaikimba ana mashuti kama ya mtoto wa Sekondari
 
Back
Top Bottom