Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
- Thread starter
-
- #21
Una njaa wewe!unatakiwa pia ubane tako ukipiga unaliminyia ndani
ni kweli uliza wachezaji au makocha akifumua shuti lazima akaze mndukuUna njaa wewe!
Ni combination ya vitu vitatuHabari za saa wakuu,
Nini hupelekea mchezaji kupiga mashuti makali (mf: kama Msuva kwenye mechi ya Tz na Egypt )
Nguvu hizo za miguu zinapatikanaje?
Ni combination ya vitu vitatu
Physically fit
Mentally fit
Mazoezi kwa mujibu wa kocha
Vyote hivyo bila kuwa imara kimwili na kiroho na mazoezi kwa mujibu wa kocha ni ngumuHahaaa mshara huku siyo mambo ya uchawi ngoja nikupe tips ambazo hata iweje lazima litatoka kombora hata pasi kujianza umbali mrefu
1. Mtazame goli kipa aliposimama kama ni mazoezi yako pekee basi tazama goli
2. Mguu usiopiga mpira hakikisha upo sambamba na mpira! Sasa hapa ndipo wakati mwingine utaona wachezaji wanajaribu kushundilia vema mahala ambapo ule mguu usio piga mpira utakanya ili asiteleze kama ile siku beckham anapaisha penati
3. Chagua sehemu ya mguu na aina ya upigaji hapa inasisitizwa sana mguu uukunje kufikia angle 45 hii itakuruhusu utumie eneo la zilipo gidamu hii atafanya mpira wote kuenea vema katika mguu
4 mwili wako uiinamie mpira hapa sasa ndipo penye umuhimu mkubwa sana hii atakufanya shuti kuwa zito na mpira kutembea kwa kima cha mbuzi! ila pale utakapo inua mwili wako basi laweza toka shuti kali ila mpira ukapaa lango!
5. Mwili wako uwe na katika hali ya wastani yaani hapa usijikaze sana wala usijilegeze sana kisha fyatua kombora lako.
Ahsante! i stand to be corrected!
Easy to mzee. Kiungo unapo kifanyisha mazoezi sahihi, kinajenga nguvu inayo hitajika. Mazoezi sahihi, Lishe, Mapumziko na mawazo chanya utengeneza kiungi husikaAseee kama kuna namna ya kunifahamisha hilo naomba usisite kufanya hivyo
Habari za saa wakuu,
Nini hupelekea mchezaji kupiga mashuti makali (mf: kama Msuva kwenye mechi ya Tz na Egypt )
Nguvu hizo za miguu zinapatikanaje?
Kama huna rinda itakuwaje?unatakiwa pia ubane tako ukipiga unaliminyia ndani
Hahahaha unaajambaKama huna rinda itakuwaje?
Ni tabia/style/Mapendeleo tu ya mtuHabari za saa wakuu,
Nini hupelekea mchezaji kupiga mashuti makali (mf: kama Msuva kwenye mechi ya Tz na Egypt )
Nguvu hizo za miguu zinapatikanaje?
Vyote hivyo bila kuwa imara kimwili na kiroho na mazoezi kwa mujibu wa kocha ni ngumu
Jr[emoji769]
Wee ukijikwaa ile nguvu ya kujirusha chini kama umerushwa fulani inatoka wapi.Habari za saa wakuu,
Nini hupelekea mchezaji kupiga mashuti makali (mf: kama Msuva kwenye mechi ya Tz na Egypt )
Nguvu hizo za miguu zinapatikanaje?
Wengine Ni yakuzaliwa/kipaji mf.Ndemla!Muone Physiotherapist, mchawi wa yote ni chakula bora.
Mechanism yenyewe inahitaji uwe na madini ya kutosha mwilini kama Calcium, Potassium, Chloride, Sodium n.k maana haya madini yanawezesha misuli kusinyaa na kutanuka.
Kweli mkuu ingawa lishe pia ina nafasi yakeWengine Ni yakuzaliwa/kipaji mf.Ndemla!