CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
UNDERDOG BUSINESS/PROJECT
Underdog ni ile hali ya watu wengi au majority kuwa na imani kwamba hutafanikiwa au hutashinda kwa unacho kifanya au unacho shindania.
Yaani asimilia zaidi ya 99 huwa na hiyo imani kabisa kwamba hutafanikiwa.
Ni sawa na Leo Brazili acheze na Tanzania. Hapo Tanzania anakuwa Underdog kwa sababu no one expect Tanzania ashinde game na Brazili.
UNDERDOH BUSINESS SASA/PROJECT.
Hii ni biashara ambayo huifanya ilihali jamii kubwa wakiamini hufiki kokote kule na hakuna anaye amini wala kukuunga mkono na wengi sana au idadi kubwa huishia kukucheka na kukudharau, ni biashara ambayo huiita ya Aibu.
UZURI WA UNDERDOG BUSINESS NI HUU
No one expects you to win except yoursel.
Hii ni biashara au project ambayo huanzisha ilihali nyuma ikipingwa sana au kuchekwa sana na jamii.
Ndugu na jamaa huwa agaiinst you.
Marafiki huwa against you.
Jamii nzima huwa against you.
UNDERDOG BUSINESS ndo biashara ambayo inasemekana kuwatoa mabilionate wengi sana Duniani.
Mabilionare na matajiri wengi walianza na Underdog business au biashara ambazo hakuna alie kuwa anaamini mtu atatoboa isupo kuwa yeye mwenyewe.
UNDERDOG BUSINESS huwa na Motivation kubwa sana kutoka kwa owner kwa sababu hutaka kuprove watu wrong.
Hakuna kitu kizuri kama unafaya kitu ambacho hakuna anaye amini kama utatoboa na si kuamini tu bali pia na kuchekwa sana na kusemwa sana.
UNDERDOG BUSINESS
Leo hii mfano Umehitimu wewe ni Graduate na ukaanza kuuza mandazi au ukaanza biashara ya kukaanga Mihogo.
Hiyo biashara hakuna anaye amini kwamba utafika kokote na hiyo biashara isipo kuwa wewewenyewe. Watu wote wataishia sana kukucheka nakukuongea kwamba muone kaanzisha biashara gani ile sasa?
Ni project za aibu, ni biashara ya aibu, Ila hizi ndo biashara ambazo huja kufunda watu midomo.
Underdog Business ndo biashara ambazo huja kushangaza watu na kuwafanya wao waone aibu kubwa sana.
MWISHO KABISA UJUMBE WANGU
Fuata Dream yako na elewa kwamba unapo anza you do not have the right to be supported ila unakuwa na haki ya kuprove watu wrong.
IT IS YOUR LIFE AND FEATURE
By
Chasha