Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na Kutenda

View attachment 3019157

Mkuu tujadili maudhui yaliyomo katika hii picha, unadhani mpangilio huo wa Emotions Upo sawa, au kuna Emotion imesahaulika.

Maudhui makubwa hapo nikuonesha kuwa sehemu za muhimu hatuzipi kipaumbele mfano

Mistari ya Gratitude ,joy. Appreciation imejikunja Sana to compare with Anger , guilty n.k

Kitu ambacho kinaweza kumletea MTU miujiza katika eneo lake la maisha ni Gratitude. - ukipata hela ndogo Sana ukaamua kushukuru basi tayari unakuwa umeshatengeneza energy kubwa .

Gratitude ndo inabeba kila kitu hapo. Na ndo inaondoa mikosi (negative energy zote).
 
Unadhani kwanini Emotions za upande wa juu zina vibration kubwa au imewekewa mistari iliyo karibu, tofauti na Emotions za upande wa chini?
 
Unadhani kwanini Emotions za upande wa juu zina vibration kubwa au imewekewa mistari iliyo karibu, tofauti na Emotions za upande wa chini?
Negative energy huwa Ina nguvu sana maana huwa haiwekewi doubt na kitu kikikosa doubt kutokea huwa ni 90%

MTU anayeamini hatofanikiwa 90% lazima itatokea negative energy inanguvu kubwa Sana .
 
Negative energy huwa Ina nguvu sana maana huwa haiwekewi doubt na kitu kikikosa doubt kutokea huwa ni 90%

MTU anayeamini hatofanikiwa 90% lazima itatokea negative energy inanguvu kubwa Sana .
Nadhani positive Energy ipo na nguvu kubwa ndiyo maana hapo mistari ya vibration Ina vibrate kwa kiasi cha juu.

Negative Emotions Zina mistari dhaifu, ambayo haina vibration kubwa, hivyo humfanya mtu kujihisi vibaya na kupoteza confidence ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…