min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
American actor, producer, and musician.Ni actor?;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
American actor, producer, and musician.Ni actor?;
Anhaa, Sawa mkuu. Basi uwe na asubuhi njema.American actor, producer, and musician.
Na mimi ngoja nikuulize swali ivi kila mtu asipo mwabudu na kumsifia huyo Mungu wewe unahisi atapungukiwa na nini?Anhaa, Sawa mkuu. Basi uwe na asubuhi njema.
Swali la nyongeza! Kwanini unafikiri kachagua picha yake na kuwekea kwenye Avatar yake?Anhaa, Sawa mkuu. Basi uwe na asubuhi njema.
Ni maamuzi yake huyo mtu, sina cha kumfanya wala sihusiki kwa lolote hapo.Na mimi ngoja nikuulize swali ivi kila mtu asipo mwabudu na kumsifia huyo Mungu wewe unahisi atapungukiwa na nini?
Hilo swali aulizwe yeye mwenyeweSwali la nyongeza! Kwanini unafikiri kachagua picha yake na kuwekea kwenye Avatar yake?
Umekwepa swali nikutakie uhai mwema.Ni maamuzi yake huyo mtu, sina cha kumfanya wala sihusiki kwa lolote hapo.
Nikama tu wewe ulivyo chagua kuweka picha ya matunda.Swali la nyongeza! Kwanini unafikiri kachagua picha yake na kuwekea kwenye Avatar yake?
Sawa mkuuUmekwepa swali nikutakie uhai mwema.
Afya ya akili na nguvu ya kutenda, frequency is to and fro while vision is what you can see, (interpret)We una ufahamu wa haya mambo
Vibration
Manifest -manifestation
Frequency
Bubble
Visualization
Vision board
Unaelewa haya mambo?
Afya ya akili na nguvu ya kutenda
Mkuu, mbona nimesha kujibu tayari, au haujaiona reply yangu?Sawa Ila namsubiria huyo jamaa ambaye nime -mqouete
OK nimekupata mkuuNaelewa hayo mambo, na bado najifunza kila siku kuhusu Energy, Frequency and vibration.
Naamini ni mambo muhimu sana mtu kuyafahamu, kwani ndyo misingi ya kila kitu, Hasa Vibration, yani Everything moves, nothing rest.
OK nimekupata mkuu
View attachment 3019157
Mkuu tujadili maudhui yaliyomo katika hii picha, unadhani mpangilio huo wa Emotions Upo sawa, au kuna Emotion imesahaulika.
Unadhani kwanini Emotions za upande wa juu zina vibration kubwa au imewekewa mistari iliyo karibu, tofauti na Emotions za upande wa chini?Maudhui makubwa hapo nikuonesha kuwa sehemu za muhimu hatuzipi kipaumbele mfano
Mistari ya Gratitude ,joy. Appreciation imejikunja Sana to compare with Anger , guilty n.k
Kitu ambacho kinaweza kumletea MTU miujiza katika eneo lake la maisha ni Gratitude. - ukipata hela ndogo Sana ukaamua kushukuru basi tayari unakuwa umeshatengeneza energy kubwa .
Gratitude ndo inabeba kila kitu hapo. Na ndo inaondoa mikosi (negative energy zote).
Negative energy huwa Ina nguvu sana maana huwa haiwekewi doubt na kitu kikikosa doubt kutokea huwa ni 90%Unadhani kwanini Emotions za upande wa juu zina vibration kubwa au imewekewa mistari iliyo karibu, tofauti na Emotions za upande wa chini?
Nadhani positive Energy ipo na nguvu kubwa ndiyo maana hapo mistari ya vibration Ina vibrate kwa kiasi cha juu.Negative energy huwa Ina nguvu sana maana huwa haiwekewi doubt na kitu kikikosa doubt kutokea huwa ni 90%
MTU anayeamini hatofanikiwa 90% lazima itatokea negative energy inanguvu kubwa Sana .