Nguzo tano za uhai

Nguzo tano za uhai

ShyaRuwa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
7,895
Reaction score
13,643
Dah yani leo nimegundua vitu vitano vinavyonifanya ni furahie maisha ni:
1.Chakula.
2.Pesa
3.Umeme
4.Internet na
5.Sex
Hivi vitu vimekuwa kama nguzo kwangu, kila siku lazima niviwaze au kutumia.....wewe top 5 priorities ni zipi???
 
Mkuu hvyo ndo vimekua vitu vya msingi sana.. Nadhan ungejumlisha na mawasiliano ya simu kwa maana internet inaweza ikadondokea haa kwenye pc/internet cafe
 
1470571944071.jpg
 
Dah yani leo nimegundua vitu vitano vinavyonifanya ni furahie maisha ni:
1.Chakula.
2.Pesa
3.Umeme
4.Internet na
5.Sex
Hivi vitu vimekuwa kama nguzo kwangu, kila siku lazima niviwaze au kutumia.....wewe top 5 priorities ni zipi???
1.ugali
2.wali
3.makande kama yapo
4.miwa
5.viazi,mihogo au hata magimbi freshi.
 
Back
Top Bottom