Hekima ni Mwalimu
Member
- Jan 30, 2015
- 24
- 33
Vijana wengi Leo hii wapo busy kutafuta mambo ya Kuwa furahisha na siyo kuwa fanikisha .
Kama kijana anapaswa kujenga nguzo zifuatazo ili aweze kufanikiwa
Kwa Leo nitaongelea nguzo mbili tu , zengine wakati ujao,
nazo ni hizi .
1) kijana ana paswa kumtafuta Mungu na nguvu zake,
ili aweze kufanikisha
Malengo na mipango yake, na ili aweze pia kufanikisha mipango ya Mungu Duniani kwani
Mungu ni Roho, hivyo mwanadamu ana mwili na Mungu hututumia sisi kufanikisha mipango yake .
2. Kijana ana paswa kutafuta Hekima Kwa nguvu zake zote .
Zifuatavyo ni njia ambazo Zita msaidia mtu kupata hekima .
I) kumuomba Mungu hekima,
Wapo wengi waliyo muomba Mungu hekima wakapewa Ila mtu maarafu Sana anaye sifika na kuchukuliwa Kama mfano na waandishi wengi ni mfalme Solomon aliomba hekima aka pewa .
2) kusikiliza mashauri na kupenda kusikiliza mafundisho,
Pamoja na sulemani kumuomba Mungu hekima aliweka bidii katika kutafuta Hekima katika kusoma na kusikiliza mashauri Kama anavyo eleza mwenyewe kwenye kitabu Chake Cha muhubiri .
iii) kujifunza kutokana na makosa
*Kama mbwa arudiavyo matapiko yake, kadhalika mpumbavu afanya upumbavu Tena
Mwenye hekima anajifunza kutokana na makosa yake .
Akianguka anatambua Kwa Nini alianguka na kuendelea mbele na safari na kufanya Tena Jambo Kwa uangalifu
* Mwenye haki uanguka mara saba akainuka,Tena bali asiye haki hukwazwa na mabaya.
Iv) kujifunza kutoka Kwa watu wengine,
Tumezungukwa na watu walio fanikiwa na watu walio shindwa kufanikiwa ,
Una weza ukaya angalia maisha ya mtu ukaona kabisa , kwamba huyu anapitia haya Kwa sababu ya ABC
Sasa una hakikisha na wewe kwamba hufanyi makosa aliyo ya fanya yeye .
V) kuwa karibu na watu wenye hekima ,
Maana wao watakupa mashauri mema na utajifunza kwao mbinu nyingi za kushinda mambo na vita za maisha .
Enenda pamoja na wenye hekima nawe utakuwa na hekima,lakini lafiki wa waovu
Ataangamia.