Mara isemekane clouds ndio walimfanya afirisike asipate mafanikio mara isemekane kuwa clouds wanampa promo sasa mbona mnatuchanganya.Habari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Una hoja usikilizweNgwair na Godzilla walikuwa vizuri kufanya freestyle.Kuhusu kuziba kifo cha aibu cha Ngwair inawezekana japo sio kweli(Wengi usema hivyo).Sikiliza ngoma ya masikini wenzangu na Alma utapata ukweli kwamba Ngwair alikuwa anaweza kufanya kitu katika mziki.Pengo kuzibika inawezekana sema sijui na nani na wakati upi ila inawezekana
That's the point clouds wametu brain washWabongo huwa tuna kasumba ya kufuata mkumbo. Na swala hili la kufuata mkumbo ndio liliweza kuwaweka Clouds juu kwa kipindi kirefu maana huwa wanachagua kitu kimoja na kukipa hype kubwa kiasi cha kuonekana cha maana japo ni cha kijinga.
Unaweza kuta kukatokea kifo mfano cha star wa Marekani utakuta kisela mavi cha Buza kinaweka RIP kwenye status, ila ukimuuliza chochote kuhusu huyo marehemu hakuna anachokijua.
Same case na Ngwair na wengine wote kama yeye waliopata nafasi ya kuwa hyped na Clouds FM kuonekana ni extra ordinary people wakati kiuhalisia ni teja tu aliekufa akiwa safarini kama punda. Umaarufu wake ni hatma ya kufuata mkumbo kwa wabongo, wengi wanaosema Ngwair alikuwa mkali ukiwauliza nyimbo yake moja tu wataishia kijing'ata ng'ata.
Nje ya madaMara isemekane clouds ndio walimfanya afirisike asipate mafanikio mara isemekane kuwa clouds wabampa promo sasa mbona mnatuchanganya.
Ila watu huw wanailaumu clouds wanasahau kuwa ngwair, jay mo, ferouz, na wasanii wengi walikuwa chunu ya bongo records na waliobaki walikuwa chini ya saidi fella na wengine tip top connection na hawakuoata mafanikio.
Sasa kwanini huwa wanailaumu clouds na si management zao?