Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
 
Ngwair na Godzilla walikuwa vizuri kufanya freestyle.Kuhusu kuziba kifo cha aibu cha Ngwair inawezekana japo sio kweli(Wengi usema hivyo).Sikiliza ngoma ya masikini wenzangu na Alma utapata ukweli kwamba Ngwair alikuwa anaweza kufanya kitu katika mziki.Pengo kuzibika inawezekana sema sijui na nani na wakati upi ila inawezekana
 
Wabongo huwa tuna kasumba ya kufuata mkumbo. Na swala hili la kufuata mkumbo ndio liliweza kuwaweka Clouds juu kwa kipindi kirefu maana huwa wanachagua kitu kimoja na kukipa hype kubwa kiasi cha kuonekana cha maana japo ni cha kijinga. Japo kwa sasa wanaanza kupoteza mvuto kiasi ya vingi wanavyotaka kuvikuza vinabuma.

Unaweza kuta kunatokea kifo mfano cha star wa Marekani utakuta kisela mavi cha Buza kinaweka RIP kwenye status, ila ukimuuliza chochote kuhusu huyo marehemu hakuna anachokijua, ila sababu ya kufuata mkumbo na yeye aonekane yumo basi anapost.

Same case na Ngwair na wengine wote kama yeye waliopata nafasi ya kuwa hyped na Clouds FM kuonekana ni extraordinary people wakati kiuhalisia ni teja tu aliekufa akiwa safarini kama punda. Umaarufu wake ni hatma ya kufuata mkumbo kwa wabongo, wengi wanaosema Ngwair alikuwa mkali ukiwauliza nyimbo yake moja tu wataishia kijing'ata ng'ata.
 
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
Mara isemekane clouds ndio walimfanya afirisike asipate mafanikio mara isemekane kuwa clouds wanampa promo sasa mbona mnatuchanganya.
Ila watu huwa wanailaumu clouds wanasahau kuwa ngwair, jay mo, ferouz, na wasanii wengi walikuwa chini ya bongo records na waliobaki walikuwa chini ya saidi fella na wengine tip top connection na hawakuona mafanikio.
Sasa kwanini huwa wanailaumu clouds na si management zao?
 
Ngwair na Godzilla walikuwa vizuri kufanya freestyle.Kuhusu kuziba kifo cha aibu cha Ngwair inawezekana japo sio kweli(Wengi usema hivyo).Sikiliza ngoma ya masikini wenzangu na Alma utapata ukweli kwamba Ngwair alikuwa anaweza kufanya kitu katika mziki.Pengo kuzibika inawezekana sema sijui na nani na wakati upi ila inawezekana
Una hoja usikilizwe
 
Wabongo huwa tuna kasumba ya kufuata mkumbo. Na swala hili la kufuata mkumbo ndio liliweza kuwaweka Clouds juu kwa kipindi kirefu maana huwa wanachagua kitu kimoja na kukipa hype kubwa kiasi cha kuonekana cha maana japo ni cha kijinga.

Unaweza kuta kukatokea kifo mfano cha star wa Marekani utakuta kisela mavi cha Buza kinaweka RIP kwenye status, ila ukimuuliza chochote kuhusu huyo marehemu hakuna anachokijua.

Same case na Ngwair na wengine wote kama yeye waliopata nafasi ya kuwa hyped na Clouds FM kuonekana ni extra ordinary people wakati kiuhalisia ni teja tu aliekufa akiwa safarini kama punda. Umaarufu wake ni hatma ya kufuata mkumbo kwa wabongo, wengi wanaosema Ngwair alikuwa mkali ukiwauliza nyimbo yake moja tu wataishia kijing'ata ng'ata.
That's the point clouds wametu brain wash
 
Naona umekuwa inspired na mjadala wa Twitter wa wale watafuta attention.

Anyways Mangwea ndio msanii namba moja wa rap wa muda wote hapa Tanzania. Kwa mujibu wangu mimi mbobezi wa muziki wa kibongo.
Talent yake haijawai kuwa na mfano.
 
Mara isemekane clouds ndio walimfanya afirisike asipate mafanikio mara isemekane kuwa clouds wabampa promo sasa mbona mnatuchanganya.
Ila watu huw wanailaumu clouds wanasahau kuwa ngwair, jay mo, ferouz, na wasanii wengi walikuwa chunu ya bongo records na waliobaki walikuwa chini ya saidi fella na wengine tip top connection na hawakuoata mafanikio.
Sasa kwanini huwa wanailaumu clouds na si management zao?
Nje ya mada
 
Back
Top Bottom