Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ukweli ngwair alikuwa mkali kwenye uimbaji
Kumbukeni huko mwanzo hakukuwa na mikompyuta mingi....lazma umakini ukianza verse hakuna kujgandisha gandisha mpaka iishe
 
Hatokaa atokee mtu kama ngwea kwenye game ya muziki Tanzania " najua unaniona tozi, kumbe mimi bonge la msela.. ... .... ... .... .. " mtoa mada malizia hiyo mistari miwili huku unatafuna bigG[emoji2419]
 
Hatokaa atokee mtu kama ngwea kwenye game ya muziki Tanzania " najua unaniona tozi, kumbe mimi bonge la msela.. ... .... ... .... .. " mtoa mada malizia hiyo mistari miwili huku unatafuna bigG[emoji2419]
Kwenye Speed 120kph sijawahi kuacha sikiliza hii ngoma
 
Acha ujinga ongea hayo yote ila futa kusema hakua na nyimbo kali , ngwear nyimbo zake zote kali
 
Kumbe kaanzisha huo mjadala! Pimbi yule ni takataka [emoji706]
 
Naomba kufaham goma moja tu takataka wakazi
 
Hatokaa atokee mtu kama ngwea kwenye game ya muziki Tanzania " najua unaniona tozi, kumbe mimi bonge la msela.. ... .... ... .... .. " mtoa mada malizia hiyo mistari miwili huku unatafuna bigG[emoji2419]
Mbona ya RAPCHA kabisa iyo [emoji16]
 
Mbona ya RAPCHA kabisa iyo [emoji16]
Huyo ulie mtaja namsikia tu kwa jina tena humuhumu Jf, huku uraiani sijawahi msikia mtu yoyote akimtaja na sifahamu wimbo wake wowote au naweza nikawa nimesha sikia wimbo, ila sijafahamu kama ni yeye

Niorodheshee nyimbo zake kadhaa labda ni msikilize na mimi ( majina ya nyimbo zake )
 
Msanii wa rap wa muda wote?!! Una kichaa wewe?! Kwa factors zipi?!
Ana hit songs ngapi?
Ana tuzo ngapi?
Show zake vipi?
Namba zake zinasemaje?
Amekaa on peak kwa muda gani?
Ana mafanikio gani kwenye mziki na kaupeleka wapi?
Acha kupotosha watu
the best freestyler ever.. hit songs kama zote(ghetto, aka mimi, gotta a gwan, speed 120, kimya kimya, mikasi, nipeni deal, CNN, NIPO JUU, demu ni wa kwangu na zingine kibao)... moja nnayo kumbuka ya kili music.. show zake zote kaua.. kakaa on peak zaid ya 7 yrs.. muziki kaupeleka yeye ndo mwanamuziki wa kwanza ku introduce sweet hiphop .. KUA NA ADABU MTOTO WA 2000
 
"Dereva funga break tumeshafika kwenye party, ebwanaeeeh kumbe bonge la party!! Duh cheki mademu kibao utadhani kitchen party, Duh cheki lile aunt lililovaa skin tight
ebwanaeeeh liko safi sio mchezo babake unaweza ukaongea nae, aah wapi mtu ka-mi hanipati! usawa wenyewe huu wakulenga kwa manati"

ila mi pia sio kwamba ndo namkubali ileeeeee!! kimtindo yuko overhyped
Nilikua namkubaligi sana Noorah [emoji1] jamaa alikua kama mtu flani katoka leo mamtoni
 
Wengine ngwea anafariki ndio mama zao wanatongozwa na bado hawajatoa majibu ya kukubali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960] achana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…