Wabongo huwa tuna kasumba ya kufuata mkumbo. Na swala hili la kufuata mkumbo ndio liliweza kuwaweka Clouds juu kwa kipindi kirefu maana huwa wanachagua kitu kimoja na kukipa hype kubwa kiasi cha kuonekana cha maana japo ni cha kijinga. Japo kwa sasa wanaanza kupoteza mvuto kiasi ya vingi wanavyotaka kuvikuza vinabuma.
Unaweza kuta kunatokea kifo mfano cha star wa Marekani utakuta kisela mavi cha Buza kinaweka RIP kwenye status, ila ukimuuliza chochote kuhusu huyo marehemu hakuna anachokijua, ila sababu ya kufuata mkumbo na yeye aonekane yumo basi anapost.
Same case na Ngwair na wengine wote kama yeye waliopata nafasi ya kuwa hyped na Clouds FM kuonekana ni extraordinary people wakati kiuhalisia ni teja tu aliekufa akiwa safarini kama punda. Umaarufu wake ni hatma ya kufuata mkumbo kwa wabongo, wengi wanaosema Ngwair alikuwa mkali ukiwauliza nyimbo yake moja tu wataishia kijing'ata ng'ata.