Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Wabongo huwa tuna kasumba ya kufuata mkumbo. Na swala hili la kufuata mkumbo ndio liliweza kuwaweka Clouds juu kwa kipindi kirefu maana huwa wanachagua kitu kimoja na kukipa hype kubwa kiasi cha kuonekana cha maana japo ni cha kijinga. Japo kwa sasa wanaanza kupoteza mvuto kiasi ya vingi wanavyotaka kuvikuza vinabuma.

Unaweza kuta kunatokea kifo mfano cha star wa Marekani utakuta kisela mavi cha Buza kinaweka RIP kwenye status, ila ukimuuliza chochote kuhusu huyo marehemu hakuna anachokijua, ila sababu ya kufuata mkumbo na yeye aonekane yumo basi anapost.

Same case na Ngwair na wengine wote kama yeye waliopata nafasi ya kuwa hyped na Clouds FM kuonekana ni extraordinary people wakati kiuhalisia ni teja tu aliekufa akiwa safarini kama punda. Umaarufu wake ni hatma ya kufuata mkumbo kwa wabongo, wengi wanaosema Ngwair alikuwa mkali ukiwauliza nyimbo yake moja tu wataishia kijing'ata ng'ata.
Huu uzi uishie hapa! Hakuwa na maajabu yoyote ya kupata hype anayopata! Na hype yenyewe imekuja baada ya kufariki kipindi yupo hawakuwa hata wanamsifia!
 
Naona umekuwa inspired na mjadala wa Twitter wa wale watafuta attention.

Anyways Mangwea ndio msanii namba moja wa rap wa muda wote hapa Tanzania. Kwa mujibu wangu mimi mbobezi wa muziki wa kibongo.
Talent yake haijawai kuwa na mfano.
Msanii wa rap wa muda wote?!! Una kichaa wewe?! Kwa factors zipi?!
Ana hit songs ngapi?
Ana tuzo ngapi?
Show zake vipi?
Namba zake zinasemaje?
Amekaa on peak kwa muda gani?
Ana mafanikio gani kwenye mziki na kaupeleka wapi?
Acha kupotosha watu
 
Hivi mnajua diamond platinum nyimbo yake ya kwanza ni ya hiphop kawashirikisha ngwair na geez mabovu.
 
A.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya

Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
Halafu muanzisha thread anadai Ngwair alikuwa overrated JF ya siku hizi imevamiwa na wajinga wajinga from Facebook
 
Sawa mke wa marehemu
Sasa mbona unatukana watu na hutaki kuambiwa ukweli ?that's why nasemaga dawa ya mjinga kama wewe ni kukaliwa kimya you know nothing katika Music [emoji445] [emoji444] [emoji58]
 
Naona umekuwa inspired na mjadala wa Twitter wa wale watafuta attention.

Anyways Mangwea ndio msanii namba moja wa rap wa muda wote hapa Tanzania. Kwa mujibu wangu mimi mbobezi wa muziki wa kibongo.
Talent yake haijawai kuwa na mfano.
Naongezea album yake ya A.K.A MIMI ...Ni album Bora kuliko zote kwenye hip hop..
Ilikuwa album Bora kwenye tuzo 2009
 
A.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya

Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
kimya kimya haikuwepo kwenye a.k.a MIMi bro
 
Ukisikiliza albam ya AKA Mimi ndo utaelewa uwezo mkubwa wa Ngwair. Kuna nyimbo kaimba mle zina-make sense sana na huwezi amini aliyeimba ni PUNDA. Nje ya muziki Ngwair alikuwa sawa na wasanii wengine wanaoishi maisha feki. Nadhani tusimame tu kwenye mazuri yake alipokuwa hai.
 
Kwamba wakati yupo Hai alikuwa hajulikani wala kusikika mpaka alipokufa...... !!!! Hii ngoma yake kali ilitoka lini na alikufa lini ?

Au unaweza ukasema kwa kigezo chochote kwamba hii ngoma ni mbaya na ukingatia imetoka zamani hence haina advatange ya viunjo vya muda wa sasa (Cinematography)

Ile nyimbo ya mikasi jamaa alinikosha sana alivyoeleza toka ameamka,akapiga mswaki,akachagua nguo mpaka akaenda kula supu na chapati .Hakika kilikua kipaji matata sana.
 
Kwamba wakati yupo Hai alikuwa hajulikani wala kusikika mpaka alipokufa...... !!!! Hii ngoma yake kali ilitoka lini na alikufa lini ?

Au unaweza ukasema kwa kigezo chochote kwamba hii ngoma ni mbaya na ukingatia imetoka zamani hence haina advatange ya viunjo vya muda wa sasa (Cinematography)

Hii ngoma niliijulia miaka ya 2003 huko hata shule bado sijaanza. Kuna mjombaangu alikuwa na washkaji zake wameanzisha kijiwe chao kinaitwa MIKASI CAMP huku Slogan yao ikisema "Ni tamu kama asali lakini ni hatari".
Wakawa wanachangishana na washkaji zake kisha wanaweka mziki mzito, hapo ndio nikaanza kusikia ngoma ya mikasi inapigwa.
Ilikuwa Kidatu, Kilombero, Morogoro
 
Ngwea aka Mimi,ni pioneer wa hii rap ya Sasa na Bado bongo sijaona Bado anayemkaribia
 
Back
Top Bottom