roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,708
- 2,886
Si kama tu yale mafungu ya boda na baiskeli.. Kila mtu anagawa kwa urefu wa ngole yake😂Mtoto wa Jumanne Maghembe,amekusanya wamama masikini wenye kadi za CCM Wana anawapa 50,000 Kila mmoja hapa Kijiji Cha mgagao kilichopo wilaya ya mwanga !! Anapata wapi fungus fungus kubwa hivyo!?
Wajumbe wapo wangapi?Huyo anatoa hela ndogo sana. Kule Twitter wanasema Kuna mgombea anatoa 900,000/= kwa kila mjumbe cash ni laki tisa narudia tena ni laki tisa. Anasema akishinda ataongeza hela mara mbili
Acheni wafu wazike wafu wao.Mtoto wa Jumanne Maghembe,amekusanya wamama masikini wenye kadi za CCM Wana anawapa 50,000 Kila mmoja hapa Kijiji Cha mgagao kilichopo wilaya ya mwanga !! Anapata wapi fungus fungus kubwa hivyo!?
Wewe utakuwa upo jimbo la Chalinze au Mchinga!Mi mbona sipati mgao jimbo halina mgombea nini
Au rufijiWewe utakuwa upo jimbo la Chalinze au Mchinga!