Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 850
NHC hakika tunawapongeza,lengo kuu ya baba wa taifa kutaifisha nyumba hizo ilikuwa ni kurudisha mali yenu ambayo iliporwa na hao.Sasa mimi nina taarifa kuwa mnataka kuuza nyumba za NHC kwa wageni,hii itakuwa ni laana.NHC ni yetu hivyo kama mnauza nyumba uzeni kwa watz tena wa kipato kidogo,maana nchi hii ni ya ajabu sana mgeni anakuja leo,kesho ana pata kitambulisho cha kupiga kura,hati ya kuzaliwa,kadi ya kupiga kura!.Huu ni upumbavu wa kitanzania.
Chonde chonde msechu,nyumba tuuziwe sisi maskini wa kawaida.Hata kukaa mjini hao matumbo makubwa wana uwezo kwa nini nyumba zenu msiwapangishe waswahili wa kawaida?.Sasa jioni wana kimbia mjini wao,asb wamejanzana kwenye magari kurudi!.Ndio maana tuna sema MABADILIKO