Mimi nipo tangu Nhc inapata nyumba za wizi.
hizi za miji yote tanzania nzima ni za dhulma.
kwa taarifa yako kabla Miradi mipya nyumba zao zilikuwa zikinunuliwa off plan kama unaelewa.
leo pale morocco mradi ule wameuza 50% tena kutoka awamu ilopita.
sasa hivi umedoda.
tukirudi kawe ni kuwa plan nzima wameharibu kwa design ambayo kuweka concetration ya watu wengi kwa pamoja ni blocks nyingi sehemu moja
Hii watu wengi hawapendi.
wange design vila types nk
ukumbuke sasa hivi miradi mingi ya nyumba imesimama kwa ukosefu wa soko.
hizi nyumba ya chini ni Tshs 400m...mbongo gani atatupa hela hio ?
Gege kule kigamboni ime fail
kuna wachina wa Avinc nao walijenga nyumba 100 tena nyumba za kujitegemea iliwapa tabu sana kuziuza. Na walikusuduia kuendelea 2nd phase wame stop...hakuna soko ..
mjini maeneo ya upanga masaki zipo nyumba zimedoda kuuzika...tena masaki ndio posh areas kuishi au ku invest.
hapo ndugu yangu mradi kwa sasa sio muafaka...bora wageuze hio sehemi iwe Univesitu tupate wasomi kuindesha hii nchii
Sent using
Jamii Forums mobile app