NHC gets $2Billion loan for its new Kawe Satellite City

Kwa taarifa yako, serikali huwa inanunua nyumba nyingi za NHC kwa ajili ya watumishi wake.
 
Nafikiri mpaka 2020 ngonjera za nai - Dar zitakua died naturally haha sababu hizi projects sio za Africa
 
Nafikiri mpaka 2020 ngonjera za nai - Dar zitakua died naturally haha sababu hizi projects sio za Africa

Nairobi kuifikia ni ndoto, labda mshindane na Mombasa
Haya mavitu yanafanywa bila kuomba mikopo, hebu ona hii ambayo inashguhgulikiwa na kampuni ya kibinafsi inayoitwa Tilisi Developments Ltd, wanatengeneza nyumba 3,200

Hiyo Watumishi Housing Corporation tu inaimaliza juu kwa juu

Landed Houses – Gezaulole Housing Project

Landed Houses – Gezaulole Housing Project

Gezaulole Housing Project – Construction continues

Gezaulole Housing Project – Construction continues.

Nairobi kuifikia ni ndoto, labda mshindane na Mombasa
Haya mavitu yanafanywa bila kuomba mikopo, hebu ona hii ambayo inashguhgulikiwa na kampuni ya kibinafsi inayoitwa Tilisi Developments Ltd, wanatengeneza nyumba 3,200

Leta source ya information hiyo.
Halafu kumbuka bado hapa Dar kuna kigamboni city ambayo ni mega city. Kigamboni ni kama ifuatavyo
1. Kibada City by NHC

2. Dege eco village by NSSF

3. Avic Town

4. Hamidu City

Just few projects in Kigamboni.

Bado kuna Temeke satellite City
Bado kuna mwongozo Dungu Farm satellite City
 
Tulia sindano ikuingie
Nairobi kuifikia ni ndoto, labda mshindane na Mombasa
Haya mavitu yanafanywa bila kuomba mikopo, hebu ona hii ambayo inashguhgulikiwa na kampuni ya kibinafsi inayoitwa Tilisi Developments Ltd, wanatengeneza nyumba 3,200

Kuna hii pia project ya Magomeni kota ya Magufuli. Amesema Kota sote za Dar es salaam zinakula gorofa. Kuanzia Kinondoni,Temeke na Ilala. Mwenye michoro atuwekee. Mradi Umesha anza. Magufuli hoyee
Nairobi kuifikia ni ndoto, labda mshindane na Mombasa
Haya mavitu yanafanywa bila kuomba mikopo, hebu ona hii ambayo inashguhgulikiwa na kampuni ya kibinafsi inayoitwa Tilisi Developments Ltd, wanatengeneza nyumba 3,200

Halima Msasambuaji

This is a non recourse or limited recourse financing.
The other name of it is known as project financing. A sort of borrowing by which you get funding from the debt market out of your assets or balance sheet. This kind of financing is not consolidated into the corporate balance sheet. This is quite different from a normal corporate finance.
 
Mishahara ikiongezeka nitaenda kukaa huko la sivyo wageni waruhusiwe kuja kufanya kazi tu no way
 
Hehehe!! Kaka do you really want to do this, subiri nipate fursa nije hapa tupelekane kwa mapicha, niliwaambia kila hatua mnayopiga sisi tulipitia hapo miaka kumi iliyopita. Haya manyumba mnayoyashangaa leo sisi tulitoka huko zamani, ni kama pale TAZARA bado mnasubiri kwa hamu mpate flyover ya kwanza muwe mnapigiwa picha hapo, wakati sisi zipo nyingi hadi tumechoka nazo.
 
Hii sindano ya cristapen kweli imekuingia mubashara
 
Flyover unazosema nyingi, ziko ngapi??
 
Unasemea hizo barabara zenu substandard?
 
True. Tatizo wanahisi zile hela za awamu iliyopita bado zitaendelea na appetite za watu kuwekeza Kwenye majengo zitakuwepo. Nyumba za milioni 120 kule Kigamboni zimedoda, hizo za Kawe, Victoria na Morocco zitafuata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Nairobi hakuna flyover zaidi ya interchange. Ni vidaraja vifupi nakuinua udongo ilikutengeneza matuta. Hata sisi huku zipo hizo.
 
Mbona wana mikopo mikubwa zaidi ya huo na taarifa ya mkaguzi mkuu wa serikali haifanywi kazi kwa nini Msechu asiendelee kupiga kama wakupigwa wapi?
 
Nairobi kuifikia ni ndoto, labda mshindane na Mombasa
Haya mavitu yanafanywa bila kuomba mikopo, hebu ona hii ambayo inashguhgulikiwa na kampuni ya kibinafsi inayoitwa Tilisi Developments Ltd, wanatengeneza nyumba 3,200

Tatizo minyumba ya Nairobi huwa ni poor finishing maana wakishachonga mitofali yao ya mawe basi wanajenga tu yanakuwaga kama uchafu, dar hawana maghorofa mengi lakin yaliojengwa yamefanyiwa finishing vizuri tofauti na ile ya Nairobi. Niliwahi ishi kahawa wendani nikitoka mjini hadi nafiki huko basi yote inafanana hadi haivutii labda ukifika KU majengo mapya ya chuo angalau yalikuwa yanavutia kidogo.
Hapo Nairobi hakuna flyover zaidi ya interchange. Ni vidaraja vifupi nakuinua udongo ilikutengeneza matuta. Hata sisi huku zipo hizo.View attachment 547951 View attachment 547952

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…