Hahaha umenichekesha kumbe wananyanyua udongo alafu wanaliita hilo tuta flyover kumbe ni bamsi wakae wasubiri salenda Bridge.Hapo Nairobi hakuna flyover zaidi ya interchange. Ni vidaraja vifupi nakuinua udongo ilikutengeneza matuta. Hata sisi huku zipo hizo.View attachment 547951 View attachment 547952
Right post in the wrong place. Good news fir Tanzania. However, kindly post it in your fòrum or is it not popular as the Kenyan forum?
Very popular, you can look at the number of viewers, they exceed your forum, wamewawekea humu ili kuboast, since you guys love bragging, let them brag too.Right post in the wrong place. Good news fir Tanzania. However, kindly post it in your fòrum or is it not popular as the Kenyan forum?
ndugu yangu kuwa mpole,maendeleo hayatakuja ukitanguliza umimi,Hapo watu watakula sana,hiyo pesa inaweza kujenga dar es salaam tatu,
wao wanajengea kitongoji kimoja
tupo pamoja,pesa hii ni ya motoSio chini ya Magufuli na Lukuvi
NI right post for Every body,jamani tusiwe wachoyo, nanyi mjue jirani yenu anafanya nini kwa kipindi hiki ambacho bado nguvu kubwa ya ujenzi inaelekezwa Dodoma.DAR NENDA.Right post in the wrong place. Good news fir Tanzania. However, kindly post it in your fòrum or is it not popular as the Kenyan forum?
NHC haitengenezi hasara mkuu.
TZ sio kenya which is engulfed with corruption.Hapo watu watakula sana,hiyo pesa inaweza kujenga dar es salaam tatu,
wao wanajengea kitongoji kimoja