Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Baada. ya Jengo kubwa lililojengwa na Kumaliziwa kwa juhudi za Mh Samia , ambalo ni NHC Morocoo Square, lenye ofisi nyeti za Serikali , yaani hazina , imegeuka kuwa kijiwe cha majambazi na wezi.
Jengo hilo lenye mwonekano wa ulinzi kwa ndani ndio jeno rahisi kabisa kufanya uhalifu. Parking za mbele ya LC Waikiki mateja wanaiba side mirrors za Gari bila wasiawasi maana camera za pale hazimuliki parking na hata zikimulika hakuna anayekamatwa.
Upande wa Nje kama unatoka kwenda kwenye mataa, Bodaboda wamevamia, wamefanya kijiwe katikati ya njia ya wenda kwa miguu .
Hapo wanapopaki opposite kwake kuna polisi wenye gari ANACONDA 24/7 lakini kila uchao watuu wanapotoka morroco wanaporwa simu na mikoba.
Tunaomba uongozi na mkuu wa kituo cha polisi Oysterbay atoe amri ya kufunga hicho kijiwe cha majambazi na wezi.
Lakini hatari nyingine ya hiki kijiwe, ni kusoma nyendo za askari wetu wanaolinda na kupake pale, na ni hatari hata kwa misafara, hi ni njia nyeti na yenye viongozi wengi.
Mhe Rais, Mh Katambi, Wakuu wa Oysterbay, tunawaombeni ondoeni hiki kituo with immediate effect, tunawapenda sana!