Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Hatari sana ,vishandu bado wapo huko SALIDALAMA?Baada. ya Jengo kubwa lililojengwa na Kumaliziwa kwa juhudi za Mh Samia , ambalo ni NHC Morocoo Square, lenye ofisi nyeti za Serikali , yaani hazina , imegeuka kuwa kijiwe cha majambazi na wezi.
Jengo hilo lenye mwonekano wa ulinzi kwa ndani ndio jeno rahisi kabisa kufanya uhalifu. Parking za mbele ya LC Waikiki mateja wanaiba side mirrors za Gari bila wasiawasi maana camera za pale hazimuliki parking na hata zikimulika hakuna anayekamatwa.
Upande wa Nje kama unatoka kwenda kwenye mataa, Bodaboda wamevamia, wamefanya kijiwe katikati ya njia ya wenda kwa miguu .
Hapo wanapopaki opposite kwake kuna polisi wenye gari ANACONDA 24/7 lakini kila uchao watuu wanapotoka morroco wanaporwa simu na mikoba.
Tunaomba uongozi na mkuu wa kituo cha polisi Oysterbay atoe amri ya kufunga hicho kijiwe cha majambazi na wezi.
Lakini hatari nyingine ya hiki kijiwe, ni kusoma nyendo za askari wetu wanaolinda na kupake pale, na ni hatari hata kwa misafara, hi ni njia nyeti na yenye viongozi wengi.
Mhe Rais, Mh Katambi, Wakuu wa Oysterbay, tunawaombeni ondoeni hiki kituo with immediate effect, tunawapenda sana!
Ngumu kutulia, Sheria inataka kila mtu anayeona uhalifu aripoti, kufumbia macho ni kosa.Tulia tulia tulia najua
Vijana wanatoka Mwananyamaa na mkwajuni.Vishandu ktk nafasi mpya ya u afsa usafirishaji. Lol
Boda wamekuwa wengi kuliko raisa, wanapora sana.Hatari sana ,vishandu bado wapo huko SALIDALAMA?
Duuh mbona hatarii sana.Vishandu ktk nafasi mpya ya u afsa usafirishaji. Lol
Dawa yao siku akipora ni kumuungia TELA kisha mnapiga KIBIRITI ,mkifanya hivyo hawatorudia hata kwa mwaka mzima mtakuwa shwari.Boda wamekuwa wengi kuliko raisa, wanapora sana.
Noma kinomanoma ngoja wakutane na muhuni alievurugwa awatembezee shaba za kichwa ndio utakua mwisho wao, sema wanachagua wa kuwaibiaBoda wamekuwa wengi kuliko raisa, wanapora sana.
Ngumu sana, timing ya vishandu , umetoka zako Morroc appartment, umeita bolt ile mnaelekezana tu , anapita na simu, kugeuka kishajichanganya ndani ya magari , hutampata.Noma kinomanoma ngoja wakutane na muhuni alievurugwa awatembezee shaba za kichwa ndio utakua mwisho wao, sema wanachagua wa kuwaibia
Ap[pprtment hapo ni milion 570 ,Alafu eti kuna nyumba zipo juu hapo za zaidi ya 500mil
Alafu chini kuna wakabajiAp[pprtment hapo ni milion 570 ,
Ndio NHC wafunge CCTV hapo mataa.Alafu chini kuna wakabaji
Hivi zina saidia kwa watu ambao hawajulikani hata wana kaa wapiNdio NHC wafunge CCTV hapo mataa.
GT King, watasogea mdogo mdogo hadi minjingu na kuleta zahama kwa wachomaji mikaa😆😆Hatari sana ,vishandu bado wapo huko SALIDALAMA?
Dawa ya vishandu ni kibiriti ,sehemu moja tulikuwa tunakaa ,kukaanza tabia ya wizi ,kuna siku jamaa akajichanganya akaiba kitu kidogo tu aisee walimkimbiza wakampata wakapiga hadi wakaua ,na hauwezi amini zaidi ya miaka 7 sijasikia wizi tena.Ngumu sana, timing ya vishandu , umetoka zako Morroc appartment, umeita bolt ile mnaelekezana tu , anapita na simu, kugeuka kishajichanganya ndani ya magari , hutampata.
Nafikiri Polisi , wakiwakamata wawapeleke pahala, wawahoji kwa upendo na kuwabembeleza, wataacha wizi.
Wajanja sana hao wanakwepaga hadi shaba.Noma kinomanoma ngoja wakutane na muhuni alievurugwa awatembezee shaba za kichwa ndio utakua mwisho wao, sema wanachagua wa kuwaibia
Vyombo vya usalama vinajua zaidi, kuna sehemu ukipakwa mafuta ukakunwa vizuri kistaarabu hutokaa urudie tena wizi,.Dawa ya vishandu ni kibiriti ,sehemu moja tulikuwa tunakaa ,kukaanza tabia ya wizi ,kuna siku jamaa akajichanganya akaiba kitu kidogo tu aisee walimkimbiza wakampata wakapiga hadi wakaua ,na hauwezi amini zaidi ya miaka 7 sijasikia wizi tena.