NHC ni muda wa kuleta wawekezaji wajenge nyumba za kisasa Mwanza

NHC ni muda wa kuleta wawekezaji wajenge nyumba za kisasa Mwanza

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
7,843
Reaction score
10,321
Kwenu shirika la nyumba la taifa sasa ni wakati wa kwenda na wakati vijumba vyenu pale katikati ya jiji la Mwamza jamani vinatia aibu Dunia ya leo vinaonekana kama vibanda tu.

Ni muda Sasa tulete wawekezaji hivyo vibanda tuvipige nyundo yasimamishwe maghorofa kama ya NSSF jiji lipendeze yangu ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom