State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 618
- 1,442
Kuna jambo halipo sawa kabisa.Yaani hizi nyumba ni ghali sana. Je serikali inaweza kutwambia kwa nini apartments za NHC ni ghali kiasi hiki? kununua apartment ya vyumba 3 kwa sh milioni 700 au penthouse kwa bilioni moja kweli? Kununua Dar es salaam nyumba ni ghali sana kuliko nairobi
exactlyHapo unasemea almost 500 Mill .na ndio nyumba ya bei ya chini.
Tena utakuta iko kule juu ghorofa ya 15.
Si bora ununue kiwanja 100 Mill.
Ujenge nyumba Classic kwa 200 Mill.
Yaan nusu ya hiyo hela ya kununua 2 bedroom house unanunulia kiwanja kizur na unaaangusha bonge moja ya nyumba.
Inachoumiza zaidi hizi nyumba ni za serikali ambazo zimejengwa na NHC kutumia kodi zetu, lakini gharama zake nafuu hata za zile Hamidu City Park kule KigamboniUsiyaamini Sana maneno ya viongozi wa bongo, ukisikia kiongozi bongo anasema "Itakuwa hivi sijui vile" basi kaa mguu nje na mmoja ndani...Kwa bei hizo ni mafisadi, wazee wa shortcut, matajiri wawili watatu, foreigners ndo wanaweza kuchukua hizo.
Nairobi? Hizo bei zaidi hata ya New YorkYaani hizi nyumba ni ghali sana. Je serikali inaweza kutwambia kwa nini apartments za NHC ni ghali kiasi hiki? kununua apartment ya vyumba 3 kwa sh milioni 700 au penthouse kwa bilioni moja kweli? Kununua Dar es salaam nyumba ni ghali sana kuliko nairobi
Hawana nia ya kuwajengea watu makazi ya bei nafuu !
Ova
Wakijenga prime area wale wenzangu na mm wasahauAlaf sijui nani kawadanganya kuwa NHC lazima iwe kwenye prime areas.
Kuna sehem Hapa Dar. pembezon mwa mji. Kama Wakiwekeza leo kwa kujenga phase 1 ya mradi wenye makaz ya maghorofa machache ya bei nafuu
Baada ya miaka 10. mrad utakuwa umewalipa vizur na kujenga phase 2 na 3.
Sasa wao wamepewa kiwanja bure. Alaf nyumba za kawaida tu na bei zimeshoot balaa.
Wanchenz sana
Hayo wasema wewe na hayakuwa kwenye mpango.Wataishi wageni.