Mkuu hawalipi pia unatakiwa uelewe hakuna bima inayolipia orthodontic na vifaa vya meno bandia kama denture,crown,bridge nk
Jino langu moja limevunjika(la mbele) na kuwa fupi.Nataka kuvalisha cover liwe sawa na jingine itanigharimu kama kiasi gani mkuu.
Mkuu hawalipi pia unatakiwa uelewe hakuna bima inayolipia orthodontic na vifaa vya meno bandia kama denture,crown,bridge nk
Gharama hutegemea na aina ya clinic na level ya taaluma ya daktari anayetoa huduma, na pia aina ya materials yatakayotumika
Unipe hata interval labda kwa angalau lenye afadhali niandae kama kiasi gani mkuu.
Ukienda smiles (nadhani jina nimepatia, ipo karibu na exim tower kama upo dsm) inaanzia 50,000 lakini inategemea na jino lako
Nnakushauri nenda Muhimbili wana kitengo cha kisasa kabisa cha meno na huduma zao ni nzuri na rahisi kama bure.