NHIF dental (braces) cover

NHIF dental (braces) cover

Atlantis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
383
Reaction score
513
Hi guys, I am a 24 year old male and I am having issues with my teeth, they are a bit far apart (although not visible easily). I was wondering if its actually possible to wear braces at my age. And if so, does NHIF cover for braces? Msaada ndugu zangu!
 
Mkuu hawalipi pia unatakiwa uelewe hakuna bima inayolipia orthodontic na vifaa vya meno bandia kama denture,crown,bridge nk
 
Jino langu moja limevunjika(la mbele) na kuwa fupi.Nataka kuvalisha cover liwe sawa na jingine itanigharimu kama kiasi gani mkuu.
 
Gharama hutegemea na aina ya clinic na level ya taaluma ya daktari anayetoa huduma, na pia aina ya materials yatakayotumika
 
Mkuu hawalipi pia unatakiwa uelewe hakuna bima inayolipia orthodontic na vifaa vya meno bandia kama denture,crown,bridge nk

duh! na je, itanigharimu kiasi gani roughly kama nikiamua kujilipia mwenyewe? which hospitals do you recommend?
 
Gharama hutegemea na aina ya clinic na level ya taaluma ya daktari anayetoa huduma, na pia aina ya materials yatakayotumika

Unipe hata interval labda kwa angalau lenye afadhali niandae kama kiasi gani mkuu.
 
Ukienda smiles (nadhani jina nimepatia, ipo karibu na exim tower kama upo dsm) inaanzia 50,000 lakini inategemea na jino lako
 
Nnakushauri nenda Muhimbili wana kitengo cha kisasa kabisa cha meno na huduma zao ni nzuri na rahisi kama bure.
 
Faizafoxy naomba kujua kuhusu dental implant nilisikia ni mbadala WA jino LA bandia je inakuaje na huduma hiyo ipo hapa nchini na gharama zake zikoje
 
quote_icon.png
By FaizaFoxy

Back
Top Bottom