NHIF ifutwe,

NHIF ifutwe,

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya.

Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu
 
Duuh! Mtoto 150k ?!!!!
Mtu akiwa na watoto 6 imekula kwake.

Watanzania tuzae mtoto 1 tu. Watoto hawana faida bali ni msala tu.
 
Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya.

Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu
Kama unaona aghali usijiunge
 
Sasa hivi afya ni biashara sio huduma wizara imebadili gia angani lakini Mimi nafurahii saana mkome kushabikia CCM mkifikiri mnawakomia chadema tena tulieni kuweni wapole dawa iwaingie.diclopar kutwa x2.
 
Back
Top Bottom