A
Anonymous
Guest
Hospital ya KAMANGA Nyegezi Mwanza kitengo cha Upasuaji kunafuka rushwa ya matibabu hasa kwa wagonjwa wa BIMA,
Baada ya mke wangu kusumbuliwa na tatizo la tumbo la muda mrefu, hospitali ya KAMANGA walitujulisha anahitaji upasuaji.
Daktari wa upasuaji Dr Hillary alitujulisha matibabu yake yanahitaji kuongeza pesa laki tano (500,000/=) ili aweze kuingia chumba cha upasuaji, laki mbili nilipe dirishani na laki tatu nimuachie clinic, kwa changamoto ya maumivu ya tumbo ya muda mrefu nilitekeleza kama nilivyoambiwa. Baada ya upasuaji kipindi tunaagwa nilivosaini katika mfumo sikuona hayo malipo...
Wagonjwa wengi wanalalamika wordini kuongezewa pesa kwa kigezo cha Bima hawalipii huduma hizo..
Tungeomba BIMA watueleze juu ya hili suala, dunia imegeuka utandawazi, kwanini wao (NHIF) hawafanyi huduma za matundu madogo mfano operation za kutoa mifuko ya nyongo???