NHIF Tanga badilikeni

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari ndugu zangu.

NHIF ofisi ya mkoa wa Tanga ni tatizo kubwa hadi muda huu 10:40 wateja bado hawajasikilizwa tunaambiwa wapo kwenye kikao.

Shame on you. Sisi wengi wetu ni wagonjwa tunataka kadi zetu tukatibiwe acheni uhuni na kujifanya ofisi ni mali zenu na familia zenu.

Vikao fanyeni muda ambao sio bize.

Imagine Jumatatu asubuhi mnaanza vikao vya kindezi.
 
Ofisi zao ndo zile pale jirani na Tanesco Tanga?
 
Ofisi za umma zote Tanga zimelala sijui kwanini, kupata huduma tanga ni shida hawathamini mda wa watu kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…