Yani hawa watu wanakata hela nyingi halafu hupati unachokihitaji.Huu ni uthibitisho mwingine haya mashirika yanaenda kufa, serikali inachota pesa kwenye hiyo mifuko halafu hawarudishi kwa wakati, sasa haya mashirika ya meanza kulemewa na gharama za uendeshaji ndio maana kila siku wanapunguza huduma walizokuwa wanazitoa mwanzo.
Hali ni mbaya sana kiongozi!Huu ni uthibitisho mwingine haya mashirika yanaenda kufa, serikali inachota pesa kwenye hiyo mifuko halafu hawarudishi kwa wakati, sasa haya mashirika yameanza kulemewa na gharama za uendeshaji ndio maana kila siku wanapunguza huduma walizokuwa wanazitoa mwanzo ili kujaribu kuendelea kujiendesha, lakini hili halitasaidia, serikali inahusika moja kwa moja kwenye hili.
CCM haistahili tena kupata kura za mtanzania yeyote mwenye uchungu wa nchi hii, au wananchi wanyonge wa nchi yetu, wanastahili kuondoka madarakani sasa, wamefeli, tuwaondoe mapema kabla hawajaharibu zaidi
Pesa zinachukuliwa na CCM kupeleka kwenye kampeni.Yani hawa watu wanakata hela nyingi halafu hupati unachokihitaji.
Makali zaidi, kasi zaidi. Sasa makato yetu yana faida gani? Huu ni unyonyaji wa aina yake.
View attachment 1558047
Huu Mfuko unatakiwa kusafishwa! Utapeli na ufisadi ni mkubwa kwa gharama za wanyonge!! Watu wana kamisheni kwenye viwanda fulani au maduka fulani ya watu fulani wanalazimishia dawa wapate kitu kidogo! Huko kwenye baadhi ya private hosp ndio uchochoro wa mafisadi. Mwisho umefika!NHIF ingejikita kutolea huduma kwenye hospitali za umma.
Juzi kati niliumwa tumbo nikalazwa kwa usiku mmoja kwenye hospitali ya Private hapa Dar (tena kwa kulazimishwa na madaktari).
Bili ilipokuja kesho yake, ilikuwa ni Tsh laki tano.
Niliuhurumia sana mfuko wa bima niliokuwepo. Yani kutundikiwa drip za buku mbili mbili ndio billi ifike huko?
Kingine kinachoimaliza hii mifuko ni kacha ya Watanzania kupenda kuumwa kwa vile wana bima.. Mtu akikohoa kidogo, hospitali. Akiumwa kichwa kidogo, hospitali.. Kwa namna hii mifuko ya bima inalipa pesa nyingi kwenye hizi hospitali hivyo kuishia kudhoofika kiuchumi.
Kingine ni hizi hospitali kufanya kipimo zaidi ya kimoja kwa ugonjwa mmoja ili kuongeza bili... Kwa kweli kwenye matibabu dawa wala hazina gharama kubwa kama vipimo.
Walipeni madeni wanapata tabu kulipa madai. Pia miezi mitatu wanachelewesha malipo, mnatesa wahudumu sekta binafsi. Sijui atawachagua nani.Isijekuwa wanahujumu kampeni za CCM kiaina!
Hakuna unachoelewa, kuna dawa muhimu sana hapo kwa afya lakini zimetolewa.Huu Mfuko unatakiwa kusafishwa! Utapeli na ufisadi ni mkubwa kwa gharama za wanyonge!! Watu wana kamisheni kwenye viwanda fulani au maduka fulani ya watu fulani wanalazimishia dawa wapate kitu kidogo! Huko kwenye baadhi ya private hosp ndio uchochoro wa mafisadi. Mwisho umefika!
Queen Esther
Acha upumbavu wewe! Onyesha na zilizoingizwa. Usioneshe tu zilizotolewa!Hakuna unachoelewa, kuna dawa muhimu sana hapo kwa afya lakini zimetolewa