Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
NHIF ni waongo supplementary medicine wameziondoa zote,nenda hospitali uone kama utapewa,hawatoi wanasema bima hawalipi
Usilete siasa kwenye mambo ya afyaHawa bavicha wanatafuta kura kwa nguvu
Hapa watusaidie kujua Kama kuna aina ambayo haipo katika huduma na ni katika kitita kipi ili kuondoa mkanganyiko.Hawa bavicha wanatafuta kura kwa nguvu
Sio kuleta siasa, wanachama na wafuasi wa chadema ndio wamesambaza huu uzushi. Mnadhani mkileta propaganda za uongo mtafanikiwa ? G SamUsilete siasa kwenye mambo ya afya
Mambo ya nhif haina ucdm wala uccm
Unafikiri wanawowalalamikia nhif ni cdm au act
Ova
Habari hizi zilianza zamani sana.Sio kuleta siasa, wanachama na wafuasi wa chadema ndio wamesambaza huu uzushi. Mnadhani mkileta propaganda za uongo mtafanikiwa ? G Sam
Wewe unaitakia nini? Unaumwa?Umewahi hata kuwa na bima ya afya? au kelele tu za lumumba kama kawaida.
Mnajitetea baada ya kuumbuka?Habari hizi zilianza zamani sana.
Hapo bado ufafanuzi wao ,unahitaji maelezo zaidi, ya he no mabadiliko gani yaliyotokea kwenye huduma zao hivi karibuni?NHIF malalamiko hata hayajaanza leo, siku zote ilikuwa wapi kukanusha? Au mnaogopa kuambiwa mnataka wananchi waichukie CCM? Ukweli uko mahospitalini.
Bima ina hesabu zake... Sio charity. Tunaweka kwenye chungu kimoja resources zitusaidie.. yule ambaye yupo kwenye risk kubwa ya kuugua na matibabu yake Ni makubwa mchango wake lazima uwe significantly higher maana insurer anachukua risk kubwa..Sio hizo dawa tu, Tundu Lissu kawasuta Kuwa hiyo bima yao ni danganya toto kwani inawabagua wale ambao wanahitaji msaada wa bima zaidi hasa wazee! Yaani ukiwa na miaka zaidi ya 60 hawakubali/ bima yao inakuwa ya gharama kubwa Sana!!! Hili wanalizungumzaje hawa wateule wa JIWE?
Naamini unazungumzia jambo usilolijua, unadhani tupo kwenye mkutano wa kampeni hapa.Wewe unaitakia nini? Unaumwa?