Chura wa kihansi
Member
- May 24, 2013
- 26
- 18
Inawezekana hata bima ya afya ya taifa nhif huna masikini,huo ndo ukweli supplementary medicines kama synthetic vitamins mfano Nat B ,neurosupport zimeondolewa,unajua umuhimu wa hizi dawa kwenye neuro-pathology ngoja ufike kwenye 50s utaona umuhimu wake.....acha kuona kila kitu ni siasa,wagonjwa wanaumia hizi dawa ni ghari kwa maisha ya kipato cha kawaidaSio kuleta siasa, wanachama na wafuasi wa chadema ndio wamesambaza huu uzushi. Mnadhani mkileta propaganda za uongo mtafanikiwa ? G Sam
Hizi neurosupport zimeindolewa lini!? Maana mie nazitumia for my eyes.. na bi mkubwa pia for same issue.. and I get them from CCBRT kwa bimaInawezekana hata bima ya afya ya taifa nhif huna masikini,huo ndo ukweli supplementary medicines kama synthetic vitamins mfano Nat B ,neurosupport zimeondolewa,unajua umuhimu wa hizi dawa kwenye neuro-pathology ngoja ufike kwenye 50s utaona umuhimu wake.....acha kuona kila kitu ni siasa,wagonjwa wanaumia hizi dawa ni ghari kwa maisha ya kipato cha kawaida
Hawa bavicha wanatafuta kura kwa nguvu
Hebu anzeni na G Sam ndiye aliyeanzisha uchochezi huuMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), unakanusha taarifa zinazosambaa kwenye baadhi
ya mitandao ya kijamii zikielezea kuondolewa kwa baadhi ya dawa katika kitita chahuduma.Taarifa hizi hazina ukweli wowote bali zimelenga kuleta hofu kubwa kwa wanachama na wadau wote wa Mfuko na kudhoofisha kazi kubwa inayofanywa hususan katika maboresho ya huduma za matibabu nchini.Katika kuhakikisha wanachama wa Mfuko wanapata huduma bora, Mfuko kwa sasa unalipia zaidi ya dawa 975 zikiwemo dawa zote ambazo zinadaiwa kuondolewa kwenye kitita cha huduma.Mfuko unazo taratibu zake za kuwasiliana na wanachama, watoa huduma na wadau wake yanapofanyika mabadiliko yoyote ya kihuduma hivyo taarifa zote zinazosambazwa si za ukweli na hivyo zipuuzwe.Mfuko unawahakikishia wadau wake kuwa huduma zitaendelea kutolewa kama kawaida naendapo mwanachama atakutana na changamoto yoyote, asisite kuwasiliana na Mfuko kupitia Kituo cha Huduma kwa Wateja simu bila malipo namba 0800110063.
Imetolewa na Grace Michael
KAIMU MENEJA UHUSIANOView attachment 1559252
Ukiona wanakataa ujue ni dili za ndani ya NHIF, hawakutaka zifike kwa wakubwa wao serikalini. Kumbuka hiki ni kipindi cha kampeni na wanajua wakubwa zao wako bize na majukwaa. Wao wanapiga dili!Wanakanusha lakini huo ndo ukweli sasa sijui kwa nini wanakataa