NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

DAWA YA MOTO NI MOTO . AGHA KHAN ITAKUFA , wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals . Let’s wait and see who wins.

They actually create a fear vacuum . If you act we act .
Aga Khan makao makuu tangu zamani hawapokei NHIF ya walalahoi.

Wanapokea NHIF (Premium) ya TRAZ NHIF, Bunge, TANAPA.

Kwahiyo wewe endelea kumeza mwarobaini
 
Hujui unachoongea..Mungu akupe uhai ushuhudie hiki kitu...
FYI hata watoa huduma hawaipendi hii bima find out....
Hii ndio bima inayoziingizia pesa vituo, kwa sababu ya uwingi wao. Lakini pia bima zingine hawaendi hovyo hospitali kwa kuwa hela zao zinawekwa kiwango maalum ambazo zikiisha tu wanajilipia wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…