NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

Other insurances companies will follow suit . The role of a business is to make profit . A chance to make profit they will use it
Wanafuata how.
Kwamba nao wanatumia kitita cha NHIF au?
Hospitali zinasema wakitumia utaratibu mpya ndo wataua hospitaliz.

Tumia akili japo kiduchu mzee wa korasi
 
Wanafuata how.
Kwamba nao wanatumia kitita cha NHIF au?
Hospitali zinasema wakitumia utaratibu mpya ndo wataua hospitaliz.

Tumia akili japo kiduchu mzee wa korasi
🚮 for profits . You are a retard . If you’re not in health sector uwezi Elewa. You stick to music and art please
 
Sawa . They literally have an office full of doctors dedicated to insurance only in every agha khan point . We will see if they can pay them
Hizi ni akili za kijinga mzee, watu wanao endesha health facilities karibu 500 dunian huko unadhan unaweza kua na ujuz kuliko wao namna ya kuendesha wakat hata duka la dawa muhim hujawah endesha ?
 
DAWA YA MOTO NI MOTO . AGHA KHAN ITAKUFA , wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals . Let’s wait and see who wins.

They actually create a fear vacuum . If you act we act .
Serekali huwa haishindwi. Hao wahindi kamasi zitawatoka. Si ajabu wanamkimbilia Ummi saa hii! huku wakipiga magoti na kujamber jamber
 
DAWA YA MOTO NI MOTO . AGHA KHAN ITAKUFA , wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals . Let’s wait and see who wins.

They actually create a fear vacuum . If you act we act .
And that's what we call ' stupid question, stupid answer'.
 
Hizi ni akili za kijinga mzee, watu wanao endesha health facilities karibu 500 dunian huko unadhan unaweza kua na ujuz kuliko wao namna ya kuendesha wakat hata duka la dawa muhim hujawah endesha ?
🚮. You think the money to run hospitals comes from abroad , each agha khan runs on its on . Like an isolated hospital . And it has To make profit . Lastly I hate teaching dummies
 
[emoji706]. You think the money to run hospitals comes from abroad , each agha khan runs on its on . Like an isolated hospital . And it has To make profit . Lastly I hate teaching dummies
Akili kisoda, Agha khan ame anza tumia hiyo huduma 2021 baada ya miaka karibu 10 kupita akishinikiza anachotaka kiwekwe kikawekwa, kwamba hapo katikat alikua ana survive vipi?? Zero brain
 
DAWA YA MOTO NI MOTO . AGHA KHAN ITAKUFA , wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals . Let’s wait and see who wins.

They actually create a fear vacuum . If you act we act .
Una uchawa wewe, Agha Khan imekuwepo kabla ya mfuko kuanzishwa na hata baada ya kuanzishwa wameingia mkataba mwaka 2022, miaka yote hiyo kwa nini haikufa?
 
Back
Top Bottom