Jibu lako linaweza lisiwe sahihi sana. AGHA KHAN bei za za matibabu ziko juu sana ukilinganisha na hospitali nyingi achilia mbali za umma. Hivyo watu wengi waliokuwa wanatibiwa huko ni wale wa NHiF. Na kuna kamchezo ka kupandisha bei kwenye Bill zao. Hivyo kuwa kosa wateja wa NHiF ubaridi utawaingia kama si kutetemeka. No matter how big theirAghakani hawategemei Bima mzee