DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #101
Kwani mkuu unajua aghakani imeanza kupokea Bima lini za NHIF???Jibu lako linaweza lisiwe sahihi sana. AGHA KHAN bei za za matibabu ziko juu sana ukilinganisha na hospitali nyingi achilia mbali za umma. Hivyo watu wengi waliokuwa wanatibiwa huko ni wale wa NHiF. Na kuna kamchezo ka kupandisha bei kwenye Bill zao. Hivyo kuwa kosa wateja wa NHiF ubaridi utawaingia kama si kutetemeka. No matter how big their
Je kipindi ambacho walikuwa hawapokei walikuwa Hawana Fund au walikuwa wanategemea nini??
Hakuna kitu kama kupandisha bei kwa Wateja huo ni upuuzi mnaojijengea..
Lets say..Bei ya Jumla nanunua ceftriaxone Tsh 900 mpaka 1000..
Kumbuka kuna Bomba la sindano hapo la 250/-
Risk taking 100/-
Wahudumu wanaochoma labda 300/=
Na tuseme labda Spirit ,Pamba swabs ni 500/-
Gharama za kuchoma Taka hiyo tuseme ni Tsh 200/-
Jumla tu hapo bila kuweka Faida ni 2500 nikiweka na Faida labda iwe 3000/-
Then unajiuliza kwanini NHIF wamepunguza Bei mpaka Tsh 1200/=
Lengo ni nini kwamba Hospitali zijiendeshe kutumia nini???