NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

W
Wangapi walishindana na wakashinda Mkuu..
Hebu acha mawazo finyu hayo..
Mgomo wa madaktari ulivotokea kipindi cha Mkapa na kikwete Nani alikuwa mshindi wa Mgomo.??
Ni Madaktari na wakapandishwa mishahara waliokuwa wanadai..

Tatizo vijana mnaozaliwa gen z au gen y Huwa mnalishwa ujinga sana wa uoga
Waziri wa afya kashasema mgonjwa asiondelewe wodini Na wagonjwa wa dharura wapokelewe
 
Wahanga watakuwa ni wagonjwa na si hospitali zinazotoa huduma.
 
Hata Magu aliwahi kuwasemea mbovu juu ya gharama zao kuwa juu sana, wakati wana misamaha ya kodi.
Mkuu

Kodi hata ukirudisha walipie,ultimately inabebwa kama ilivyo inawekwa kwenye invoice za wananchi wanalipia wao,sio hizi hospitali

Unakuja na hoja ya kifala sana ya kodi as if kodi wanatoa wao,wanatoa wananchi..

Hakuna hospitali linalipa kodi,unalipia wewe wewe kiazi mwananchi uliechagua mawanasiasa mapumbavu eti yakutibu

Hayo mawanasiasa mliyoyachagua yawatibu,basi nendeni yawatibu kama yanaweza

Msililalamikie hizi hospitali....zinafanya biashara,huwezi bei tambaa

Na ukija na ujinga wa kodi,no sweat,bring it on,wanazihamishia kwa wananchi right away ndio walipie bei ya sindano inakuwa 1,000,000...mfe kabisa!

Ni ajabu sana mwanadamu unakuja hapa duniani unashindwa kujitunzia pesa zako ili ukiumwa utijibie,eti unampa mwanasiasa akushikie kama litoto lidogo ili ukiumwa likakutibie,cha ajabu linakula hizo pesa then ukiumwa badala ya kulalamikia aliekushikia hela unamlalamikia mtoa huduma

The problem here cha kwanza ni mwananchi,wa pili ambae ndio alieharibu kila kitu ni serikali....wewe mwananchi unampaje serikali akushikie hela?Umekua mtoto mdogo?Lazima mfe wote
 
Wahanga watakuwa ni wagonjwa na si hospitali zinazotoa huduma.
Wafe kabisa...maana ni upumbavu mtu mzima kumpa mwanasiasa serikalini hela zako eti ukiumwa akakutibie kama litoto lidogo

Hizo hela heri mpe benki akushikie,ukiumwa utoe ujitibu

Wanasiasa na serikali yao dhalimu wamekula hayo mapesa wamefanyia ujinga mwingine,leo mfuko umeisha!

Kufeni tu maana hamna maana....watu wazima still ni matoto yanaamini serikali kwa kila kitu....unaamini mwanasiasa mjinga kuliko wewe akushikie hela zako,are u insane?
 
Utakuta pesa zimeliwa huko NHIF

Mfuko uko empteee

Ova
 
Wangapi walishindana na wakashinda Mkuu..
Hebu acha mawazo finyu hayo..
Mgomo wa madaktari ulivotokea kipindi cha Mkapa na kikwete Nani alikuwa mshindi wa Mgomo.??
Ni Madaktari na wakapandishwa mishahara waliokuwa wanadai..

Tatizo vijana mnaozaliwa gen z au gen y Huwa mnalishwa ujinga sana wa uoga
Mkuu

Hawa ndio wapo brainwashed na government kwamba ina power sana zaidi ya wanadamu

Wanashindwa kuelewa inaendeshwa na watu walipata D na F shuleni,yaani akina Musukuma!
 
W

Waziri wa afya kashasema mgonjwa asiondelewe wodini Na wagonjwa wa dharura wapokelewe
Hahahaha Sasa kwani tamko.la.waziri linaathari gani???

Hujiulizi kwanini Muhimbili wameongeza huduma???
Screenshot_20240301_145655_X.jpg
 
Hapo cha msingi ni maokoto tu , ugomvi mkubwa wa hospital na bima nyingi ni kutolipwa kwa wakati ,NHIF hailipi kwa wakati ndiyo maana hospital nyingi hazipokei bima ya NHIF na baadhi ya BIMA michosho.

Ushauri tu ni kwamba NHIF lipeni kwa wakati ,mkiendesha kisiasa hamtotoboa.
 
W

Waziri wa afya kashasema mgonjwa asiondelewe wodini Na wagonjwa wa dharura wapokelewe
Wapokelewe hospitali yake?

Wasiondolewe hospitali yake?

Muwe mnaheshimu private enterprise......

Wanaondolewa na hana la kufanya....akileta mguu kupigia private property kelele anapelekwa mahakamani alipie damages!

Kuna wanasiasa vichaa sana dunia hii
 
Hapo cha msingi ni maokoto tu , ugomvi mkubwa wa hospital na bima nyingi ni kutolipwa kwa wakati ,NHIF hailipi kwa wakati ndiyo maana hospital nyingi hazipokei bima ya NHIF na baadhi ya BIMA michosho.

Ushauri tu ni kwamba NHIF lipeni kwa wakati ,mkiendesha kisiasa hamtotoboa.
Hazilipi kwa wakati kwasababu serikali inaenda kwenye hiyo mifuko na kuchota mahela yote na kwenda kuyala kwenye mambo yao ya siasa huko

Now its time to pay back

Politicians are the human tragedy!
 
Wapokelewe hospitali yake?

Wasiondolewe hospitali yake?

Muwe mnaheshimu private enterprise......

Wanaondolewa na hana la kufanya....akileta mguu kupigia private property kelele anapelekwa mahakamani alipie damages!

Kuna wanasiasa vichaa sana dunia hii
Utu Kwanza
 
Kwa nini hawakuikataa tokea mwanzo?.
Mkuu

The deal comes with good faith,you both sign

Then comes time for payments,then ndio sanaa zinaanza kama serikali inavyoanza kuleta sasa hivi

Cut them off na pia peleka mahakamani walipe na ma-interest kibao halafu hakuna kufanya nao tena

Hakuna tena cha mkataba nao,hawaaminiki wehu hao
 
Hazilipi kwa wakati kwasababu serikali inaenda kwenye hiyo mifuko na kuchota mahela yote na kwenda kuyala kwenye mambo yao ya siasa huko

Now its time to pay back

Politicians are the human tragedy!

Exactly wanasiasa wanaharibu sana maisha ya watu ,mifuko yote iliyoinzishwa na serikali imefilisiwa na wanasiasa.....Taasisi nyingi zinazokusanya mapato ya kijamii kwa niaba ya serikali wanachota fedha humo.
 
Utu Kwanza
Utu?

Biashara yangu IFE sababu ya UTU?

Hela zako umpe mwanasiasa azile halafu uje kwangu unasema neno UTU?

Yaani wewe upone on my expenses?Halafu hela za kuendesha hospitali nizipate wapi?

Futa mkataba na hakuna kuurudia tena hata mkija tena maana hamhaminiki kabisa!

Ni ajabu liserikali kugeuka jambazi namba moja

What a shame!
 
Barua ilo sawa its called intimidation Mkuu..
Yaani namwambia Athumani kwamba Juma nimekwisha mpiga kwa kosa mlilofanya jana wote wawili alafu namtaka athumani.aombe msamaha kabla sijampiga..
Sijui umenielewa..
Its called intimidation to create Division..
Its called Divide and rule
Sio intimidation boss, Aga khan walitoa tamko la kusitisha huduma kwa wateja wa bima hivyo wamevunja na kukiuka mkataba na bima ndiyo maana mkataba unavunjwa. Acheni fikra kuwa kila siku unawindwa.
 
Back
Top Bottom