NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

Sio intimidation boss, Aga khan walitoa tamko la kusitisha huduma kwa wateja wa bima hivyo wamevunja na kukiuka mkataba na bima ndiyo maana mkataba unavunjwa. Acheni fikra kuwa kila siku unawindwa.
Nimekuelwa mkuu lakini Barua imeandikwa Kwa TMJ then why mention Aghakan..

Neuro Nina kumbukumbu Mwezi wa 11 na mwezi wa 12 niliwahi kuwa na mjadala na wewe kuhusu swala hili hili la Bima Na kwa kumbukumbu zangu nilikuambia kuwa litafika huku umeona lilipofika?
 
Watu wa Bima wanapatiwa Huduma cheap sana Aghkani

Maybe unazungumzia Polyclinic
Hakuna huduma cheap bali matibabu ya kawaida yanapendwa kuonekana complex ili ionekane ni superb. Huduma cheap niisiyofuata miongozo ya afya ya taifa STG na ya kimataifa WHO
 
Sio intimidation boss, Aga khan walitoa tamko la kusitisha huduma kwa wateja wa bima hivyo wamevunja na kukiuka mkataba na bima ndiyo maana mkataba unavunjwa. Acheni fikra kuwa kila siku unawindwa.
Alievunja mkataba ni serikali wala sio Aga Khan

Aga Khan anatoa huduma,halipwi!

Uendelee na mkataba kwa sababu gani?

Piga chini,na hakuna kurudia tena

Tena nawashauri hospitali binafsi kupitia umoja wao wakatae kata kata kurudia mkataba na serikali hata waombe kurudi

Serikali ni dude la ajabu sana....hivi unawezaje kudhulumu watu fedha zao?
 
Hakuna huduma cheap bali matibabu ya kawaida yanapendwa kuonekana complex ili ionekane ni superb. Huduma cheap niisiyofuata miongozo ya afya ya taifa STG na ya kimataifa WHO
Uko sawa kabisa haya twende kwenye miongozo Bima Inalipa CT-Scan na MRI?
Au hazipo kwenye Miongozo??
 
Hata kairuki ,Bugando ,KCMC nk , hospitali zote za binafsi ndio tegemeo nchi hii , na wako mbioni kusitishwa kabisa hii huduma
Ndio kilio na kusaga meno vitafuata na majitu nchi hii akili zitaingia vizuri
Mbinyo bado haujakolea , Kenge huwa atoke damu masikioni

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
BUGANDO, KCMC na hospitali yeyote ile ya dini haipo chini ya APHFTA ni CSSC tuache kuchanganya private health facility na faith based facility. APHFTA ni private hospitals ambayo ni Kairuki, Aga khan, TMJ, Regency nazingine ila sio faith based facilities
 
Kama una akili usingeshindwa kujua kwamba Agakhan ni chain hospitals ambapo zipo karibia kila pande ya nchi ,wale wanahudumia watu wenye uwezo wa kuhandle gharama kubwa , hizo huduma za bima kusitishwa ni kwamba kutakuwa na msongamano na tatizo kubwa la huduma katika hospitali nyingine za serikali , maana si Aghakan tu anayesitisha huduma ,hata vituo vya afya binafsi huko mitaani ni hivyo hivyo
Na mnajua hali ilivyo kwenye vituo vya afya vya serikali

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Vituo vya private vilivyositisha matibabu ni hospitali kubwa za level ya kanda sio chini ya hapo. Acheni kuleta taharuki. Agakhan iliamua kwenda na polyclinics zake ila private hospitals zinaendelea na kazi.
 
Mkuu kama utakuw na muda ningependa tujadili kuhusu Kitita..
Ukiniruhusu nitag
 
Hahahaha Sasa kwani tamko.la.waziri linaathari gani???

Hujiulizi kwanini Muhimbili wameongeza huduma???
View attachment 2921440
Limeongeza huduma kuattend outpatients wenye clinics boss, umesoma medicine hospitali hairuhusiwi kureject emergency cases na hawaruhusiwi kuwatoa inpatients ipo kwenye medical act articles ameziquote waziri
 
Wapokelewe hospitali yake?

Wasiondolewe hospitali yake?

Muwe mnaheshimu private enterprise......

Wanaondolewa na hana la kufanya....akileta mguu kupigia private property kelele anapelekwa mahakamani alipie damages!

Kuna wanasiasa vichaa sana dunia hii
Hawezi kufanya hivyo kwasababu leseni yake ya kuendesha hospitali haimruhusu hivyo. Hapo sio NHIF tena bali wizara ya afya.
 
Nimekuelwa mkuu lakini Barua imeandikwa Kwa TMJ then why mention Aghakan..

Neuro Nina kumbukumbu Mwezi wa 11 na mwezi wa 12 niliwahi kuwa na mjadala na wewe kuhusu swala hili hili la Bima Na kwa kumbukumbu zangu nilikuambia kuwa litafika huku umeona lilipofika?
Barua hiyo iliyotumwa sio official pia hii stage ni lazima ifike wakati wowote wakuchange package maana hata 2016 ilikuwa sio rahisi.
 
Limeongeza huduma kuattend outpatients wenye clinics boss, umesoma medicine hospitali hairuhusiwi kureject emergency cases na hawaruhusiwi kuwatoa inpatients ipo kwenye medical act articles ameziquote waziri
Naelewa Vizuri mkuu ila Tatizo ni kuwa Sheria hizo zinamgusa Daktari kama mtoa huduma bila kusahau yeye ni mwajiriwa..
 
Barua hiyo iliyotumwa sio official pia hii stage ni lazima ifike wakati wowote wakuchange package maana hata 2016 ilikuwa sio rahisi.
2016 ilikuwa Rahisi sana na watu walikubali Bei kwa sababu zilikuwa Zinaendana na Hali halisi..
Mimi nikiwa mmojawapo nilizisifia sana bei za 2016
 
Alievunja mkataba ni serikali wala sio Aga Khan

Aga Khan anatoa huduma,halipwi!

Uendelee na mkataba kwa sababu gani?

Piga chini,na hakuna kurudia tena

Tena nawashauri hospitali binafsi kupitia umoja wao wakatae kata kata kurudia mkataba na serikali hata waombe kurudi

Serikali ni dude la ajabu sana....hivi unawezaje kudhulumu watu fedha zao?
Umeelewa nilichokiandika boss au unaandika kwa mihemuko, unaambiwa kusitisha huduma kwa wateja wa NHIF ni direct inflict inayopelekea kuvunja mkataba. Hospitali zote ulizoziona zilisitisha huduma mpaka settlement ipatikane ila mkataba hauruhusu hicho kitu ndio maana mkataba unavunjwa automatically.
 
Uko sawa kabisa haya twende kwenye miongozo Bima Inalipa CT-Scan na MRI?
Au hazipo kwenye Miongozo??
Bima inalipa Ct scan na MRI na vipimo husika vipo kwenye muongozo wa maabara wa Tanzania, umeainisha kila kipimo kinafanyika at which hospital level na indications zake with results interpretation.
 
2016 ilikuwa Rahisi sana na watu walikubali Bei kwa sababu zilikuwa Zinaendana na Hali halisi..
Mimi nikiwa mmojawapo nilizisifia sana bei za 2016
Ilionekana raisi ila haikuwa hivyo sema kwasababu at that time mambo mengi yalifanywa kwasiri na hata kitita kipya inabidi watu wa NHIF wakazitangaze au kutoa taarifa kwenye vituo husika, sasaivi everything has made open hata vitita mtu anadownload kuvipata.
 
Naelewa Vizuri mkuu ila Tatizo ni kuwa Sheria hizo zinamgusa Daktari kama mtoa huduma bila kusahau yeye ni mwajiriwa..
Hapo nimekuelewa ndio maana milango iliachwa wazi still open for discussion, ni daktari naelewa hilo.
 
Mimi siyo kapuku ningekuwa kapuku nisingekuwa hapa ,ina maana ningekosa hata pesa ya bando .

Naongelea watanzania wanyonge ambao wananyanyasika na watu ambao ni profit oriented kiasi kwamba hawaangalii hata ustawi wa watu.
Sawa wanyonge wataendelea kutumia hospitali za umma, wala hili halibishaniwi!
 
Back
Top Bottom