Ni adhaabu gani unaweza kupata ukibainika unatembelea gari ya commercial likiwa na plate number ya private (njano)?

Ni adhaabu gani unaweza kupata ukibainika unatembelea gari ya commercial likiwa na plate number ya private (njano)?

mr mtenya

Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
16
Reaction score
17
Habari naombeni kujua adhabu ya kutembelea gari ya commercial(gari la biashara, plate number nyeupe) likiwa na plate number ya private (plate number ya njano)?
 
Hiyo plate namba ya njano ukaweka kwenye gari ya biashara unakuwa umeitoa wap?

Tafsiri yake kama hujabadilisha chombo chako kwa matumizi kutoka kwenye biashara kwenda kwa matumizi binafsi kwenye mfumo wa TRA na ukaweka plate namba ya njano maana yake hyo kesi ya utakatishaji wa pesa.
 
Duh! Hivi kuna watu bado elimu yao ni hovyo kiasi hiki! Hathabu? Seriously?
 
Athabu ya khufwirwah hatharani uwanja wa mkapa dar ndhima ikishuhudia na viongothi wa kithaifa wakiwa jukwaa kuu na zedithioo ndio mfhirhaji mwenyewe
😂😂😂💔💔💔
 
Back
Top Bottom