GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
AMEN / AMINA MTUMISHI.ADHABU NZURI NI WEWE KUACHANA NA UASHERATI NA KUMPOKEA YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO.
Nimecheka mpaka basi.Na wewe upewe adhabu gani na mkeo?
Tunataka siri ya mwenge mkuu. Hawara hatuhusu banaNaomba majibu yenu ya haraka kwani kuna Mpuuzi Mmoja ( Demu wa Njje ) naona anataka kulazimisha nimwache mazima leo baada ya Kuniponza tena kwa Makusudi. Hata kama Wanaume tuna Mahawara zetu Nje ( Nje Cup ) ila kuna muda huwa tunapenda Kucheza pia Mechi zetu za Kawaida na Kimashindano na Heshima za NBC Premier League.
Unibandulie au? Acha Upimbi na bado hujaniokota sawa?nipe namba yake nimkanye asipokanyika najua nini chakumtafuna!
mi nimeokoka!Unibandulie au? Acha Upimbi na bado hujaniokota sawa?
Sikuamini Utanibandulia Mpuuzi Wewe.mi nimeokoka!
Sikuamini Utanibandulia Mpuuzi Wewe.