Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 563
- 1,362
vipi kwa sasa hiyo adhabu haipo?zamani wanafunzi hawakuwa na makalio makubwa
hapo kwenye lengo kutimia , ebu leta stori yakewakati tupo kidato cha 3 walikuja ajira mpya walimu wawili wakike pale shule asee zilikuwa na pisi zilizonyooka mno, Sasa katika story zetu kama wanafunzi si nikawaambia wana kuwa lazima madam (nancy nickname) nimle kabla sijamaliza.
Si kuna snich akaenda akachoma asee nliitwa staff afu yule best yake madam nancy akasema haya kidume anza kututongoza we si unawatambia wenzake lazima ulale na sisi? (huyu madam alikuwa mnoko na anakiherehere kuliko mlengwa)
Wakuu ile staff nliiona kubwa mno yaan nliomba wanchape yaishe, maana yule madam alkua anaongea shombo sana mixer kujibenunua mbele pale nipo nae then walimu wote wapo wanaangalia kama wapo chumba cha sanaa ya maigizo ukijulmsha Ma mdogo nae alikuwa ni jopo la walimu basi ilikuwa ni fedheha sana moyoni mwangu. Though adhabu ilipitishwa ila lengo pia lilitiki apo bdae.
Tupe story Tumalizie lengo Mkuuwakati tupo kidato cha 3 walikuja ajira mpya walimu wawili wakike pale shule asee zilikuwa na pisi zilizonyooka mno, Sasa katika story zetu kama wanafunzi si nikawaambia wana kuwa lazima madam (nancy nickname) nimle kabla sijamaliza.
Si kuna snich akaenda akachoma asee nliitwa staff afu yule best yake madam nancy akasema haya kidume anza kututongoza we si unawatambia wenzake lazima ulale na sisi? (huyu madam alikuwa mnoko na anakiherehere kuliko mlengwa)
Wakuu ile staff nliiona kubwa mno yaan nliomba wanchape yaishe, maana yule madam alkua anaongea shombo sana mixer kujibenunua mbele pale nipo nae then walimu wote wapo wanaangalia kama wapo chumba cha sanaa ya maigizo ukijulmsha Ma mdogo nae alikuwa ni jopo la walimu basi ilikuwa ni fedheha sana moyoni mwangu. Though adhabu ilipitishwa ila lengo pia lilitiki apo bdae.
kuna jamaangu kasoma uingereza aliniambia ukiwa mwanafunzi hata ukikosea swali unapongezwa
unaambiwa make sure next you did well.
Kuzaliwa Africa ni laanaHiyo ndo tofauti Kati ya ngozi nyeupe na manyani yenye roho mbaya
Imagine mpaka wazazi zamani mtoto akikosea kitu nyumbani ananyimwa chakula
mtoto kakosea swali shuleni badala asaidiwe kuelewa anapewa adhabu kama kumkomoa yaani enzi hizo tunakula fimbo za mgongoni mpaka nakumbuka shati la shule lilikuwa na alama za fimbo mgongoni mpaka leo nina alama mgongoni yule mwalimu alikuwa akikuchagua usimame kujibu swali la hesabu ukikosea tu unakula viboko nane vya mgongoni kama mwizi!
Hapo nilikuwa darasa la tatu na ule umri mdogo sometimes Ile hofu inapelekea unakosa kujiamini hata kama swali ni jepesi unajikuta unababaika kujibu unakosea tu!
Halafu eti juzi kuna mwalimu mmoja mstaafu aliyewahi kunifundisha enzi hizo(huyu aliwahi kunizaba Kofi moja nikaanguka na kuzimia)
Sasa tuna miaka mingi hatujawahi kuonana then juzi tumekutana hapa Dodoma kama bahati tu alikuwa anapita vibanda vya jirani na hapa ninapouzia majeneza nikamwona ikabidi nimsalimie akanikumbuka vizuri
Nilimkaribisha kwenye banda langu ili aone kama zile fimbo na makofi aliyokuwa ananipiga shuleni yalisaidia nini ikiwa leo hii nimeambulia kuwa muuza majeneza.
Niliwaza nimpe hata jeneza moja Bure kama shukrani ya vile vipigo na adhabu za kijeshi ila nikaona nikaushe tu maana hata hivyo umri wake ushasogea najua hachukui muda atachomoka maana alinambia amekuja Dodoma kwa matibabu
Kwa asilimia kubwa adhabu za kipuuzi za kikatiri zimesababisha watu kuwa makatiri na kuwa wenye hasira Kali sababu ya yale mateso waliyopitiaSwali,
Je adhabu hizo zilikubadilisha kitabia au ziliwabadilisha tabia wanafunzi wote waliopewa hizo adhabu?
Kulikua na matokeo yeyote mazuri kutokana na adhabu hizo?
Kwa asilimia kubwa adhabu za kipuuzi za kikatiri zimesabbabisha watu kuwa makatiri ma kuwa wenye hasira Kali sababu ya yale mateso waliyopitiaSwali,
Je adhabu hizo zilikubadilisha kitabia au ziliwabadilisha tabia wanafunzi wote waliopewa hizo adhabu?
Kulikua na matokeo yeyote mazuri kutokana na adhabu hizo?
My former boss kaishi huko uingereza ukikosea anakuambia nijibu hivi,kuna jamaangu kasoma uingereza aliniambia ukiwa mwanafunzi hata ukikosea swali unapongezwa
unaambiwa make sure next you did well.
🤣🤣🤣Shule mkuuUna uhakika ni shule? Sio JKT,
Niko Minaki Sec. Form 5 and 6.Wakuu kama kichwa kinavyojieleza
Naomba leo tujikumbushe kidogo adhabu tulizowahi kupewa mpaka ukatamani Bora akuchape tu yaishe
1) Binafsi nakumbuka kipindi tukiwa shuleni siku Moja tulichelewa kufika
Basi siku hiyo ilikuwa zamu ya mwalimu mmoja hivi
Yule mwalimu akatuambia Mimi sitoweza kuwapiga Cha kufanya chukueni hii ndoo
Akatupatia ndoo ya Lita ishirini, Kisha akasema, pangeni mstari mmoja akae kule bombani (Bomba la maji) na mwingine akae huku mwisho karibu na ndoo
Sasa zoezi lililokuwepo ni unakinga maji kwa mikono yote miwili Kisha unampatia mwenzako na yeye anampatia mwenzake yeye Tena anampatia mwenzake hivyo hivyo mpaka ndoo ijae
Changamoto iliyokuwepo ni kwamba unakinga maji kitendo Cha kumpatia mwenzako tayar mengine yamemwagika yamebakia machache
Nakumbuka hiyo siku wengi tulilia mpaka mwalimu akaja kutusamehe
2) Nilipewa swali nikakosea jibu basi yule mwalimu alivyokuwa katili akaniambia weka miguu juu kichwa chini halafu pale chini akaweka jiwe Ili kama nikichoka na nikadondoka basi kichwa kidondokee lile jiwe sitosahau
3)Nilipitiwa na usingizi wakati wa kipindi baada ya kuniona akaniita akaniambia chukua ndoo hii hapa
Zoezi lililopo hapo ni unaenda unachota maji unakunywa halafu unatoka unakimbia Yale maji unayatemea kwenye ndoo
Changamoto ni kwamba ndoo ilikuwa mbali kiasi kwamba ukija kuifikia Ile ndoo tayari Yale maji umeshayameza
Inabidi urudi Tena. Siyo Siri nilitamani kulia
Ila shule basi tu
Halafu tunashangaa kwanini watu wakatili 😅Umaskini mbaya sana, shule zote zenye adhabu kali, ni shule hizi za serikali a.k.a st likud, huwezi Kuta mtoto anaesoma feza, ism, ist, braeburn anapewa adhabu za kuchapwa fimbo 50, kuruka kichura chura, au kuchimba visiki kama mpo jkt, kuna shule zingine nlisikia mtoto asipoenda na tsh 200 ya chakula shuleni anachapwa.
Yani ni kama mtoto anaadhibiwa kwasababu ya umaskini wa mzazi wake, kwa kisingizio kuwa mtoto kafanya kosa.
Very sad.
Sina uhakika kama zilinibadilishaSwali,
Je adhabu hizo zilikubadilisha kitabia au ziliwabadilisha tabia wanafunzi wote waliopewa hizo adhabu?
Kulikua na matokeo yeyote mazuri kutokana na adhabu hizo?
Upo sahihi kabisa Mkuu,moja ya athari za adhabu kwa mtoto,ni kumtia mtoto uoga fulani,kutokujiamini na kukosa Self confidence,Sina uhakika kama zilinibadilisha
Kwan kabla hata ya hizo adhabu nilikuwa na namba nzuri darasani
ila Kuna namna flani zilinijengea picha mbaya na Hali ya uoga hasa pale napotaka kwenda shuleni
Wanafunzi wengine miongoni mwa hao tuliokuwa nao waliacha shule kwa kuogopa adhabu kama hizo