Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

Last Night

Member
Joined
Jun 19, 2021
Posts
20
Reaction score
65
Habari wanajf hiki ndicho kilichonikuta kwenye mkesha wa x mas

Uwiii Wanajeshi Hawa sio watu tupo mm na shoga angu tumetoka club uck akanambia nimsindikize kwake tukifika atamwambia mume wake anipeleke home. Mme wake wanausafiri wao basi tumerudi zetu tunaimba wimbo wa marioo Bia tamu hapo tunaiimba kwa sauti hatuna wasiwasi tupo bwiii tumefika karbu na Kambi Yao na bwana ake na rafiki yangu ni mjeda anaishi jirani na Kambi mle kota ,Ile tumefika tu wakatokea wajeda wawili wakaulza nyie ni kina nani tukasema sisi ni wake wa wakubwa zenu tupishen tuna usingizi.

Jaman ghafla tulikula mtama kwanza atujakaa vizuri wakatuulza hapa tupo wangap tukasema wawili tulikula kipigo cha mwiz ety tupo wawili kwani nyie hamjioni tulipigwa nyie na hivi tulikuwa tumevaa vimini mbn vilikuwa kama Pichu baadae mume wa huyo shoga angu wakampigia simu ni mwenzao kufika akawaambia leteni fimbo sababu hawajaniaga.

Tulipigwa pamoja na huyo shem alitucharaza kisawasawa haswa shoga angu alipigwa mpk akaomba taraka tumekuja kuachiwa miguu haitembei mwil mzito ikabidi watuburuze kama mzoga, tumelala asubuh hatuwez hata kuinuka alaf shem kaamka anatuulza mmelalaj tukakaa kimya akaulza Tena kwa ukali ww tulijibu kwa saut za kinyonge . Akawa ametoka acha tuangaliane huku tunacheka machoz yanatoka jaman walituumua balaa jion yake shoga angu akabeba kikapu kama tunaenda sokoni ndo mazma hvyo mpk kwao hajarudi mpaka leo.
 
Maisha yote walevi mna makelele sana, then wenyewe mnaona kama mnaimba kwa sauti ndogo, pia mnapoingia maeneo ya watu mjaribu kuwa na nidhamu hapo mlipowajibu "wake za wakubwa zenu tupisheni tuna usingizi" hata kama huyo shoga yako mumewe ni mkubwa basi unatakiwa ujue pia ana mkubwa wake!!
 
Kubeba dunia kwa hiyari yangu nilipokuwa kuruta.
 
kuna por lipo nyuma ya airpot sasa wanajesh walichoma mashamba yao ya mpunga kwaajil ya kuandaa mashamba moto ukawazd sis tukawa tunapita na pkpk maeneo hayo hatuna hil wala lile wakatudaka asee tulzunguka nao por zma kuzima ule moto mpka viatu soli zkawa zinangangania moto tumeanza saa nane mchana ad sa kumi na mbil na nusu na wanakupelekesha utafikr ww ndio ulkuja na upepo kukoleza uo moto tunakuja kuachiwa muda ushaaenda na tunaambiwa eneo la jesh mwsho kupta saa kumi na mbil kamil apo n saa kumi na mbil na nusu kwaio tukimbie haraka na tupotee eneo hil tukarud hom tunanuka mosh kama tumetoka kwenye jiko la shule
 
Poleni nyie sio kwa kipigo hicho pona yetu alikuwa anatufahamu halafu hatukuwa kwenye utu uzima kihivyo bado tulikuwa wadogo tu.
Hahahhaa jaman wakiamua mpaka shem alitucharaza mm sina hamu
 
Maisha yote walevi mna makelele sana, then wenyewe mnaona kama mnaimba kwa sauti ndogo, pia mnapoingia maeneo ya watu mjaribu kuwa na nidhamu hapo mlipowajibu "wake za wakubwa zenu tupisheni tuna usingizi" hata kama huyo shoga yako mumewe ni mkubwa basi unatakiwa ujue pia ana mkubwa wake!!
Pombe ndugu yangu acha tu
 
kuna por lipo nyuma ya airpot sasa wanajesh walichoma mashamba yao ya mpungu kwaajil ya kuandaa mashamba moto ukawazd sis tukawa tunapita na pkpk maeneo hayo hatuna hil wala lile wakatudaka asee tulzunguka nao por zma kuzima ule moto mpka viatu soli zkawa zinangangania moto tumeanza saa nane mchana ad sa kumi na mbil na nusu na wanakupelekesha utafikr ww ndio ulkuja na upepo kukoleza uo moto tunakuja kuachiwa muda ushaaenda na tunaambiwa eneo la jesh mwsho kupta saa kumi na mbil kamil apo n saa kumi na mbil na nusu kwaio tukimbie haraka na tupotee eneo hil tukarud hom tunanuka mosh kama tumetoka kwenye jiko la shule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]polen sana jaman
 
Nakumbuka nilikua darasa la 6 kitambo tulienda kukata magoli ya miti jeshini ilikua mwanza nyashana, sasa baada ya kukata tukakutana na mjeda mmoja akatuuliza mnafanya nn? Tukamwambia tunapita tu[emoji1787]

Pale tulipokua kwa nyuma tulipotoka kulikua na bango limeandikwa marufuku kupita eneo hili la Jeshi.... Akaanza kutuliza mmoja mmoja , akaanza na mimi ww hukuliona hilo bango linaktaza msipite hapa kwa uoga nikasema niliona ila nisamehe sirudii..

Akanisogeza pemben kulia , wale wenzangu walivoona hivo walipoulizwa kila mtu akawa anasema mimi sikuluona hilo bangk ndomna nikaingia huku wakawa wanawekwa pemben upande wa kushoto tulikua kama 7 ... yule mjeda akachkua ule mti mmoja wa goli akaukata kati na lile panga lile panga akalivunja na mkono kilichofata me niliambiwa ww nenda umesema ukweli wale wenzangu walipigwa vibaya nilikua naskia tu mayowe nikikimbia kwenda hom
 
Pombe ndugu yangu acha tu
Chonde chonde ulevi noma
Tena mna bahati hawakuwa na chupa za Mirinda na Fanta karibu!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jamaa Walikuwa wanapita na kigoma cha Uruguay wanatoka kawe wanaelewa makongo juu kule,vibe likazidi wakajisahau wapo viunga vya lugalo jeshini uku wanapiga vigoma na wanawake kukatika viuno.Wakaitwa wakawapigie wanajeshi maana 'walipenda Ngoma yao'

Jamaa walipigishwa Ngoma kuanzia jioni Hadi asubuhi non stop Hadi mikono ya wapiga Ngoma ikavimba,wanawake walikatika viuno Hadi wakachoka.kufika asubuhi Waimbaji na wapiga Ngoma wote wakawa wanalia huku burudani ya Ngoma Kwa wajeda ikiwa inaendelea...Ilikuwa kitambo hiko lkn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka nilikua darasa la 6 kitambo tulienda kukata magoli ya miti jeshini ilikua mwanza nyashana, sasa baada ya kukata tukakutana na mjeda mmoja akatuuliza mnafanya nn? Tukamwambia tunapita tu[emoji1787]

Pale tulipokua kwa nyuma tulipotoka kulikua na bango limeandikwa marufuku kupita eneo hili la Jeshi.... Akaanza kutuliza mmoja mmoja , akaanza na mimi ww hukuliona hilo bango linaktaza msipite hapa kwa uoga nikasema niliona ila nisamehe sirudii..

Akanisogeza pemben kulia , wale wenzangu walivoona hivo walipoulizwa kila mtu akawa anasema mimi sikuluona hilo bangk ndomna nikaingia huku wakawa wanawekwa pemben upande wa kushoto tulikua kama 7 ... yule mjeda akachkua ule mti mmoja wa goli akaukata kati na lile panga lile panga akalivunja na mkono kilichofata me niliambiwa ww nenda umesema ukweli wale wenzangu walipigwa vibaya nilikua naskia tu mayowe nikikimbia kwenda hom
Pole sana hahahhaa nimecheka balaa
 
Jamaa Walikuwa wanapita na kigoma cha Uruguay wanatoka kawe wanaelewa makongo juu kule,vibe likazidi wakajisahau wapo biunga vya lugalo jeshini uku wanapiga vigoma na wanawake kukatika viuno.Wakaitwa wakawapigie wanajeshi maana 'walipenda Ngoma yao'

Jamaa walipigishwa Ngoma kuanzia jioni Hadi asubuhi non stop Hadi mikono ya wapiga Ngoma ikavimba,wanawake walikatika viuno Hadi wakachoka.kufika asubuhi Waimbaji na wapiga Ngoma wote wakawa wanalia huku burudani ya Ngoma Kwa wajeda ikiwa inaendelea...Ilikuwa kitambo hiko lkn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka nilikua darasa la 6 kitambo tulienda kukata magoli ya miti jeshini ilikua mwanza nyashana, sasa baada ya kukata tukakutana na mjeda mmoja akatuuliza mnafanya nn? Tukamwambia tunapita tu[emoji1787]

Pale tulipokua kwa nyuma tulipotoka kulikua na bango limeandikwa marufuku kupita eneo hili la Jeshi.... Akaanza kutuliza mmoja mmoja , akaanza na mimi ww hukuliona hilo bango linaktaza msipite hapa kwa uoga nikasema niliona ila nisamehe sirudii..

Akanisogeza pemben kulia , wale wenzangu walivoona hivo walipoulizwa kila mtu akawa anasema mimi sikuluona hilo bangk ndomna nikaingia huku wakawa wanawekwa pemben upande wa kushoto tulikua kama 7 ... yule mjeda akachkua ule mti mmoja wa goli akaukata kati na lile panga lile panga akalivunja na mkono kilichofata me niliambiwa ww nenda umesema ukweli wale wenzangu walipigwa vibaya nilikua naskia tu mayowe nikikimbia kwenda hom
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UNAAMBIWA UFUE NGUO NA MAJI YA KWENYE KISODA/KIZIBO

AU WANAMWAGA MAJI CHINI WANAKWAMBIA OGELEA AU VUA SAMAKI

UTAJUA HUJUI😂
 
Wanajeshi hata kama hauna kosa unatengenezewa kosa. Nilitumwa jeshini kikazi nimeulamba na mchuchumio juu.kufika getini nikaruhusiwa nikakaa pale mapokezi.

Kweli walinichangamkia si unajua wanaume kila mtu anataka no.mmh.

Nikawaambia nilichokifata kweli walikuwa wakijua hiyo issue ila walikuwa wakikwepa nisikutane na hao watu ambao ni wafanyakazi humo ndani ila sio wanajeshi.

Tatizo wakati naenda nikasahau kitambulisho, yesuuuuuu, hili ndo kosa kubwa nilifanya. Nikapelekwa kwa mkubwa wao.

Swali la kwanza wewe ni raia au ni mpelelezi? Nikasema mimi ni raia, unatoka wapi? Nikajibu, akasena watu wa hiyo wilaya sio raia, nikawapa kitambulisho cha nida akasema hicho kinatafutwa huko kwenu hakunaga raia.

Hapa nikawaza nimpigie boss wangu maana nilienda pale kikazi na ni ilikuwa ni amri so kikawaza nimpigie.

Nikapelekwa ofisi nyingine nilihojiwa kuanzia babu na mabibi nisio wajua.

Documents nilizopeleka pale zinaonesha ninakotoka na niko sahihi kuwa pale tatizo sina kitambulisho.
Nilizungushwa ofisi zote, mara mvua ikanyesha mjeshi mmoja akasema huyu avue viatu abilingishwe hadi getini, kwanza sio raia anatoka wilaya ovyo kabisa. Sio raia wale😂😂😂

Mjeshi mwingine kasema mwacheni tu aje huku tumkague kama ni raia.

Nikapekekwa kwenye kachumba na mjeshi wa kike nikavua shati aangalie kama nina ndui ile chanjo iliachaga kovu, basi akaikuta, nikarudishwa ofisini, nikataka kumpigia boss wangu hawataki maana walijua ntapata msaada fasta .
Jioni sana nikaruhusiwa kuondoka ila wakaweka ngumu nisikutane na wale watu ingawa niliwaona, nikaondoka zangu.

Nyie watu jeshini sio sehemu salama.yaani huwezi kwenda kule ukakosa kosa lolote lazima wakutengenezee kosa ilimradi tu wakunyooshe akili ikukae sawa.
Niliwaza sana hizi movie tunazoziona mtu anajitosa kuingia jeshini anakuwa hajipendi.

Sidhani katika hali ya kawaida kama kuna kaka jambazi ambae alishawahi ingia jeshini akatoka salama maana wako makini sana.
 
Back
Top Bottom