Ni adhabu gani ya wanajeshi umeshawahi kuipata au kuisikia ilikuwaje?

Pole sanaa
 
Enzi hizo wajeshi bado wanalipa nauli kwenye daladala,. Siku moja akapanda mjeda demu kwenye gari. Bahati mbaya nauli ikiwa haitoshi, konda akapaniki kwakua anamuona ni mwanamke. Konda si akamnyanganya kofi ya jeshi kufidia nauli yake[emoji1787][emoji1787] Makosah in Dj Afro voice.

Dada wa Watu hata hakugomba akaenda kambini akaelezea kilichotokea, Lile gari wakati linarudi wakakuta wanajeshi kama 20 wamejipanga barabarani wakamdaka yule konda. Otea kilichomtokea konda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alipewa madoso?
 
Pombe imenisababishia rafiki yako kuachika nakushauri mrudishe kwa mume wake ukamuombee msamaha
 
Sasa mkishindwA kukimbia au kumchangia,.Mimi hupita jeshini na siogopi na wajeda huniita na kuniuliza na hawanifanyi kitu kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mkishindwA kukimbia au kumchangia,.Mimi hupita jeshini na siogopi na wajeda huniita na kuniuliza na hawanifanyi kitu kabisa
Nilikua darasa la 6 nilikua dg sana, alafu unachowaza ww usije kujaribu hata siku moja kijana, sisi tulipokua tunaishi ni karibu na kambi ya jeshi hata ukikimbia wakikutafuta watakupata tu, kuna kipind fulan nilikua mdogo mabati na mabomba yaliibiwa huko jeshini ilikua balaa walikuja kufunga mtaa nyumba kwa nyumba wanasachi watu walipigwa hatari..

Kuhusu kumchangia itakugarimu kuna jamaa walimchangia mjeda wakampiga ulivoanza msako wale jamaa walihama mkoa kwa uoga,wajeda wakianza kukusaka utajuta
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Aisee nimecheka sana
 
Hao wajeda wa zamani, wajeda wa sikuhizi mbona wastarabu, Yani wanavamia wananchi na kuanza kuwapiga kisa wizi, hao wajeda watakuwa walikuwa wavuta bangi tu hao, nchi hii inaongozwa kisheria why wapige Raia hovyo
 
Kuna kambiw ya jeshi waliibiwa blackout generator, ilibidi ibaki siri maana lilikuwa kubwa la kubeba na roli halafu wakaamka halipo.
 
Kuna kambiw ya jeshi waliibiwa blackout generator, ilibidi ibaki siri maana lilikuwa kubwa la kubeba na roli halafu wakaamka halipo.
Ahaaaaaa kaka jambazi sio watu wazuri, ilikuwaje jamani? Walilala? Itakuwa kuna mwenzao aliuza dili. Aiseeeee ilibidi iwe siri maana ni aibu wajeshi kuibiwa dude kubwa hivyoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtu yyte ukiingia kwenye himaya yake utajuta.

Kama uhamini, ruka ukuta uingie kwenye nyumba ya mtu akudake,ni kifo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…