kwa taarifa yako, ghubu la mwanaume ndio linadumisha ndoa......................
Ila hata mwanaume mwenye ghubu lol! ni kero kwa mkewe/mpenzi, usiombe ukakutana na mwanaume mwenye ghubu, utajuta!
Ndio maana yake.................... Ghubu la mwanaume ndio mahaba yenyewe yanayoleta chachu katika mapenzi...!
Kwa taarifa yako, Ghubu la mwanaume ndio linadumisha ndoa......................
gubu ni nini jamani hebu tufafanulie vizuri jamani
Mama ndio mlezi zaidi kuliko baba, any bad attitude of this woman will have major impact on the family. Mama ndie anayejenga na kuharibu jamii. All I want to say is tafuteni wanawake wenye maadili mema na bora matukio mtayaona kwenye watoto wenu.
I think Ghubu is destoyer of happy family
Kwa taarifa yako, Ghubu la mwanaume ndio linadumisha ndoa......................
GHUBU maana yake ni tabia ya mtu kutoridhika na mlalamishi (kunung'unika kusiko isha)............hata akosewe jambo dogo tu kwake litakuwa kubwa au..........................Asipolalamikia hili, atalalamikia lile..................... ilimradi keroooo kerooooo keroooo zisizoisha.Ghubu ni nini?
GHUBU maana yake ni tabia ya mtu kutoridhika na mlalamishi (kunung'unika kusiko isha)............hata akosewe jambo dogo tu kwake litakuwa kubwa au..........................Asipolalamikia hili, atalalamikia lile..................... ilimradi keroooo kerooooo keroooo zisizoisha.