uTuambieni jamani, hilo ghubu ni nini? mtoa mada tufafanulie basi
Kwa taarifa yako, Ghubu la mwanaume ndio linadumisha ndoa......................
Kuna wanawake wengine bila kuwa na GHUBU japo kidogo ndoa hainogi kabisaaaaaa.............Kama vile Mboga bila chumvi..............LOLBaba hapa mwanao ntakuomba radhi nipingane nawe tu.....Ghubu la mume! utende jema, ghubu, uiname ghubu, ugeuke ghubu..............usiombee kukutwa.
Ghubu si mchezo, hasa kwa mwanamme.
Mtaalamu mmoja wa mahusiano na malezi, Dk. Grace Katterman, katika kitabu chake maarufu kinachoelezea athari za Ghubu kiitwacho, Verbal Abuse, anaelezea uharibifu wa tabia unaoweza kusababishwa na ghubu kwa mtoto.
Anaeleza kwamba Mwanamke anapokuwa na ghubu watoto huathirika zaidi kuliko ghubu hilo anapokuwa nalo mwanaume. Anaonya kwamba mwanamke anapokuwa na ghubu huweza kuwafanya watoto kuwa na tabia zisizopendeza watakapokuja kuwa wakubwa.....................
Baba hapa mwanao ntakuomba radhi nipingane nawe tu.....Ghubu la mume! utende jema, ghubu, uiname ghubu, ugeuke ghubu..............usiombee kukutwa.
Afadhali na wewe umeuliza maana watu wana arrogance ya ajabu sana humu. Swali limeulizwa kwa nia njema lakini hakuna hata aliyejibu - wanaliruka tu.
Ukiona hivyo ujue huenda na wao hata hawajui.....
...gubu ni maana yake ni kutofurahia mapenzi..,yani mwanamke ambaye hajawah fika kilele tangu azaliwe na mwanamume ambaye ni impotent..
GHUBU maana yake ni tabia ya mtu kutoridhika na mlalamishi (kunung'unika kusiko isha)............hata akosewe jambo dogo tu kwake litakuwa kubwa au..........................Asipolalamikia hili, atalalamikia lile..................... ilimradi keroooo kerooooo keroooo zisizoisha.
Ghubu si mchezo, hasa kwa mwanamme.
Labda kama unazungumzia wivu Baba yangu but wivu!? utajuta kuzaliwa mtoto wa kike.Kuna wanawake wengine bila kuwa na GHUBU japo kidogo ndoa hainogi kabisaaaaaa.............Kama vile Mboga bila chumvi..............LOL
Mtambuzi ni kheli mwanamke mwenye gubu, kuliko mwanaume. Husiombe ukutane na mwanaume mwenye gubu kha!!! utajuta, maana baadhi ya wanawake ni kawaida sana kulalamika, gubu na ulalamishi vinaendana. Mwanaume anayelalamika, lalamika ni kero haswa, ebu fikiria upo nyumbani na marafiki zako wewe mwanamke mume wako anatoka kazini/kwenye mihangaiko yake anakuta labda umembadilisha mtoto pampers, akaikuta hapo chini, haukuwa umeiacha makusudi labda ndo tu umetoka kuitoa, ile kuiona tu anaanza, we mwanamke haya makitu ya mtoto unayaacha, acha hapa kwa sababu gani? Au dada kwa nini huwa mnakuwa wachafu hivi mna acha, acha vitu hovyo, lakini kwa mwanamke kuulizia kwa nini hiyo kitu ipo hapo chini ni sawa kabisa kwa maana ni jukumu la mwanamke kuangalia usafi wa nyumbani japo itakuwa ni gubu ila itaonekana tu kwamba ni moja ya majukumu, nimetoa mfano huu sababu mtu mwenye gubu huwa hachagui kitu cha kuongea, na ni wakati gani wa kuongea, kila kitu yeye kwake ni kibaya yaani ni kero tu, afadhali mwanamke awe na gubu maana bwana anaweza kumbadilisha si unajua wanawake huwa ni wepesi wa kutii, ila baba akiwa na gubu, mama yangu!!! Si ndo mama na watoto wakimwona tu kila mtu anatafuta mahali pa kutokea ili hasikumbane na dhahama za jamaa.
Niliyajua hayo na ndio maana sikudai hata mahari yangu...............LOLkongosho aksante.
Labda kama unazungumzia wivu Baba yangu but wivu!? utajuta kuzaliwa mtoto wa kike.
Aksante ram................... mie leo nbi kushkuru tu maana nilishajaaliwa kuwa victim wa hili.
Niliyajua hayo na ndio maana sikudai hata mahari yangu...............LOL
Naona umeanza kujifunza nahau zangu.....................LOLHahahah aksante Baba yangu kweli uliona mbali ndo mana wanasema alotangulia kuliona jua duniani kakuzidi mengi. Nakushukuru kwa hili maana kama na mahari angelipa sijui ningetolewa mlango gani yarabi mie! Maana bila ya mahari tu nlikiona cha mtema kuni, na mahari si ndo ingekuwa soko la watumwa Kilwa masoko!
ok........................................Kuna wanawake wengine bila kuwa na GHUBU japo kidogo ndoa hainogi kabisaaaaaa.............Kama vile Mboga bila chumvi..............LOL