Ni Afrika pekee ndio Wana msemo wa kipuuzi kama huu kwenye mahusiano

Ni Afrika pekee ndio Wana msemo wa kipuuzi kama huu kwenye mahusiano

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,

"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"

Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.

Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA KAMA HICHO.

AMA KWELI UMASKINI WA AKILI NI LAANA.

UZI TAYARI.
 
Wanapiga lunch kwa mama ntilie sahivi, ngoja wamalize waje....tuwasikie.
Hata mambo ya chungu kuhitaji mafiga matatu utayakuta Afrika🤣 wenzetu wanatumia gesi na umeme.

Pia mambo ya ndoo na kidumu utayakuta hukuhuku Afrika, wenzetu wanatumia jacuzzi na shower.....vikizingua unatupa unajua vingine🤣🤣

Shida ya Afrika na umasikini unaozalisha unafiki🤣🤣🤣
 
Si wanasemaga necha, kumbe necha ni Africa tu hawa kina juma necha wana mambo sana.....
 
Wengi munao Toka huko Mamtoni munajidai kutukosoa Kila kitu sisi Ambao hatuja fika huko Mamtoni. Kuna mzee mmoja pale mtaani kwetu magomeni Alivyo Rudi kutoka Ulaya akatuambia vijana watanzania wengi tunaonekana machizi😄😄😄
 
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,

"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"

Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.

Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA KAMA HICHO.

AMA KWELI UMASKINI WA AKILI NI LAANA.

UZI TAYARI.
Hawasemi ila wanafanya.
Unataka kusema hao hawachepuki!?
Kama hawachepuki neno unfaithful na cheat limetokea wapi!?
 
Eti wanawake ni wengi kuliko wanaume. Africa ni hatari
 
Nenda Qatar ujionee mashekhe wanavofanya Sunnah za mtume, yani Hadi watimie wanne. Nenda Iraq, nenda Egypt, nenda Libya... USA hao wakioa wanapiga kotekote na Kwa mparange huko...akioa mmoja sawa na ana wawili.. M/kiti nilinde
 
Hao USA wenyewe wana cheat vile vile.
 
Ingekua kweli basi neno cheat lisingekua na maana kwao.
 
Hata mimi nimeishi sana USA, Russia, Ubelgiji, Italy, France, Middle East, Far East, Canada, Mexico, UK, China, Japan, Brazil, Australia, Argentina, Spain Nchi zote hizi nimeishi nikiwa ndotoni ila sijawahi kusikia kauli ya kimaandazi kama hiyo 🗑️
 
Inashangaza sana hata mimi nimeishi inchi zilizoendelea,sijaona wanawake wanaofanya mapenzi kama biashara kama huku Africa,yaaani ukimtongoza akakubali,na shida na matatizo vinaanza hapo hapo.
mapenzi ulaya Africa biashara
 
Trump amegonga wanawake wangapi?
Porn videos zimeanzia wap?
Tunasikia ya wachezaji ulaya na wake zao...
Huko ni kuendekeza ngono kivitendo kabisa sio maneno tu...
Kama machine yako imekufa, kaa utulie
 
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,

"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"

Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.

Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA KAMA HICHO.

AMA KWELI UMASKINI WA AKILI NI LAANA.

UZI TAYARI.
Hawasemi lakini kimya kimya wanafanya na wengine wanaogopa kwa sababu ya kufumaniwa wakapata cha mtema kuni
 
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,

"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"

Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.

Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA KAMA HICHO.

AMA KWELI UMASKINI WA AKILI NI LAANA.

UZI TAYARI.
Husha jiuliza wale escort ulaya wapo kwa ajili ya akina nani au uliza hata wateja wao (ikiwezekana tafuta hata intvw zao,utajua wateja wao wakubwa ni wa kwenye ndoa)?

Au hili neno Side chick lina maana gani kwako?

Kuna muhindi mmoja nilifanya nae kazi,Kondom anaziachaga ofisini anazibeba akiwa na show na kaoa,mke alikuwa hapa hapa Tz.Vp hawa wachina wanaofanya ujenzi hapa Tz,maana kuna wengine wameacha watoto kibao nchini.

Mwanaume ni mwanaume, ukiona hafanyi mbele ya macho ya mkewe jua anampenda mkewe,ila huku nje ana tembeza rungu kama kawa.

Umeishi Asia,Europe ina maana umemaliza nchi zote?

Nchi za ulaya/America wanafanya kwa siri sana ,sababu wanaogopa talaka,talaka ulaya inamkamua sana mwanaume,inaweza ikamfilisi kabisa. Kule ulaya hutoi child support tu,kuna kitu kinaitwa Allomony,kisikie kwa mwenzio.
 
Back
Top Bottom