Hata mambo ya chungu kuhitaji mafiga matatu utayakuta Afrika🤣 wenzetu wanatumia gesi na umeme.Wanapiga lunch kwa mama ntilie sahivi, ngoja wamalize waje....tuwasikie.
Si wanasemaga necha, kumbe necha ni Africa tu hawa kina juma necha wana mambo sana.....Hata mambo ya chungu kuhitaji mafiga matatu utayakuta Afrika🤣 wenzetu wanatumia gesi na umeme.
Pia mambo ya ndoo na kidumu utayakuta hukuhuku Afrika, wenzetu wanatumia jacuzzi na shower.....vikizingua unatupa unajua vingine🤣🤣
Shida ya Afrika na umasikini unaozalisha unafiki🤣🤣🤣
Hawasemi ila wanafanya.Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,
"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"
Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.
Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA KAMA HICHO.
AMA KWELI UMASKINI WA AKILI NI LAANA.
UZI TAYARI.
Hao USA wenyewe wana cheat vile vile.Nenda Qatar ujionee mashekhe wanavofanya Sunnah za mtume, yani Hadi watimie wanne. Nenda Iraq, nenda Egypt, nenda Libya... USA hao wakioa wanapiga kotekote na Kwa mparange huko...akioa mmoja sawa na ana wawili.. M/kiti nilinde
Hawasemi lakini kimya kimya wanafanya na wengine wanaogopa kwa sababu ya kufumaniwa wakapata cha mtema kuniNi Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,
"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"
Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.
Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA KAMA HICHO.
AMA KWELI UMASKINI WA AKILI NI LAANA.
UZI TAYARI.
Husha jiuliza wale escort ulaya wapo kwa ajili ya akina nani au uliza hata wateja wao (ikiwezekana tafuta hata intvw zao,utajua wateja wao wakubwa ni wa kwenye ndoa)?Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,