Ni aibu aibu kubwa mikoa ya Mbeya,Arusha na Mwanza kukosa uwanja wa mpira wenye taa.

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Hii nchi viongozi wetu wa serikali wanazani maendeleo ni ujenzi wa vitu vingine tu km SGR na Majengo marefu tu.Maisha ni pamoja burudani hasa mpira wa miguu ambao ndio kipenzi kikubwa cha WTZ. Bila kupoteza mda, jamani hv kufunga taa viwanjani nayo tunahitaji msaada kutoka benki ya dunia?Yaani mikoa mikubwa km Mbeya,Arusha na Mwanza kunakosekana uwanja wenye taaa? This is a huge shame. Mfano leo Yanga na Azam wanacheza mashindano ya kimataifa mechi zetu za ligi zingeweza kuzogezwa kuchezwa usiku ili mashabiki waweze kutazama mechi za Yanga na Azamu,na baadae waende kutazama mechi za ligi kuu. Lakini kwa kukosa miundo mbinu ya taa inabidi mechi zote zichezwe mechi kwa wakati mmoja. Matokeo yake ni viwanja kukosa mashabiki kwani wanaishia kutazama mechi Yanga au Simba. WTZ tunapenda sn mpira na michezo mingine ila viongozi wetu kuna sehemu mnatukosea . Najua mkiamua mnaweza kutuondolea hii aibu.
 
Aibu intendedee Wenye hati ya umiliki we viwanja hivyo ambao ni CCM

Mwanza ina nyamagana uwanja mkongwe kabisa Tanzania buda ina taa japo ni ndogo
 
Uwanja wa AmanI kule Zanzibar ulikuwa na taa kabla sana hatujaziona kwa Mchina.
 
Gwambina Stadium, Mwanza una Taa!
 
Mkuu umeongea point ambayo nilisha iwazaga. Siyo taa tu zakumulika eneo la kucheza, viwanja vingi havijawa connected kabisa na umeme na maji. Aibu tunajenga miundombinu ya kuongeza uzalishaji wa umeme ila maeneo ya umma kama viwanja umeme hamna. Team zikifanya vizuri wanasiasa wana jikomba ila mambo ya msingi kama haya wanafumba macho. Kitu hiki kitaongeza sana thamani ya ligi yetu kama kikitekelezwa.
 
Hii nchi viongozi wetu wa serikali wanazani maendeleo ni ujenzi wa vitu vingine tu km SGR na Majengo marefu tu.Maisha ni pamoja burudani hasa mpira wa miguu ambao ndio kipenzi kikubwa cha WTZ. Bila kupoteza mda, jamani hv kufunga taa viwanjani nayo tunahitaji msaada kutoka benki ya dunia?Yaani mikoa mikubwa km Mbeya,Arusha na Mwanza kunakosekana uwanja wenye taaa? This is a huge shame. Mfano leo Yanga na Azam wanacheza mashindano ya kimataifa mechi zetu za ligi zingeweza kuzogezwa kuchezwa usiku ili mashabiki waweze kutazama mechi za Yanga na Azamu,na baadae waende kutazama mechi za ligi kuu. Lakini kwa kukosa miundo mbinu ya taa inabidi mechi zote zichezwe mechi kwa wakati mmoja. Matokeo yake ni viwanja kukosa mashabiki kwani wanaishia kutazama mechi Yanga au Simba. WTZ tunapenda sn mpira na michezo mingine ila viongozi wetu kuna sehemu mnatukosea . Najua mkiamua mnaweza kutuondolea hii aibu.

Aibu sana kamanda...tena mwanza ndio walitakiwa wawe na uwanja mzuri kuliko hata wa taifa, Arusha mji bado wakizamani hawastahili kuwa na uwanja..atleast jiji la mbeya kutokana na mandhari ya mkoa huo na pia watu wake sio washamba washamba kama Arusha.
 
Back
Top Bottom