johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wawalipe haraka....Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!!
Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara?
Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza itikadi yake nchi nzima mijini na vijijini hadi kule migodini na migombani.
Chadema walipeni wafanyakazi mishahara yao kabla Naibu waziri Patrobas Katambi hajawashukia kama mwewe.
Ijumaa kareem!
Mmawia anakesha akiliwa na mbu pale Ufipa kulinda ofisi lakini mshahara halipwi mwezi wa 6 huu.Wewe ni Mhasibu wa CHADEMA? kulipwa posho tu jana umeanza upuuzi wako
DAAAA jamani mbowe hebu ona hururma kwa wenzako wewe unakula ruzuku ya kina mdee taratiiibu wenzio wanaliwa na mbu bure utalaaniwaMmawia anakesha akiliwa na mbu pale Ufipa kulinda ofisi lakini mshahara halipwi mwezi wa 6 huu.
Muoneeni huruma kijana wetu.
🤣🤣🤣 Ha ha ha ha unataka kusema kuwa CHRISTMAS ilimpitia kavu....Mmawia anakesha akiliwa na mbu pale Ufipa kulinda ofisi lakini mshahara halipwi mwezi wa 6 huu.
Muoneeni huruma kijana wetu.
🤣🤣DAAAA jamani mbowe hebu ona hururma kwa wenzako wewe unakula ruzuku ya kina mdee taratiiibu wenzio wanaliwa na mbu bure utalaaniwa
Wewe mbona unafanya usafi na unalipwa kwa mafungu mafungu mpaka umehamishiwa Katoro?Mmawia anakesha akiliwa na mbu pale Ufipa kulinda ofisi lakini mshahara halipwi mwezi wa 6 huu.
Muoneeni huruma kijana wetu.
Mmawia ni hawara wa mwenyekigoda, kwahiyo hata asipolipwa mshahara, anahongwa tu kitandani.Mmawia anakesha akiliwa na mbu pale Ufipa kulinda ofisi lakini mshahara halipwi mwezi wa 6 huu.
Muoneeni huruma kijana wetu.
Kama serikali inashindwa kulipa mafao ya wafanyakazi wake kwa zaidi ya miaka sita sembuse Chadema?Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!!
Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara?
Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza itikadi yake nchi nzima mijini na vijijini hadi kule migodini na migombani.
Chadema walipeni wafanyakazi mishahara yao kabla Naibu waziri Patrobas Katambi hajawashukia kama mwewe.
Ijumaa kareem!
WanajitoleaNimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!!
Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara?
Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza itikadi yake nchi nzima mijini na vijijini hadi kule migodini na migombani.
Chadema walipeni wafanyakazi mishahara yao kabla Naibu waziri Patrobas Katambi hajawashukia kama mwewe.
Ijumaa kareem!
Mmawia ya kweli haya?Mmawia anakesha akiliwa na mbu pale Ufipa kulinda ofisi lakini mshahara halipwi mwezi wa 6 huu.
Muoneeni huruma kijana wetu.
Kuna tofauti kati ya mafao na mshahara bwashee!Kama serikali inashindwa kulipa mafao ya wafanyakazi wake kwa zaidi ya miaka sita sembuse Chadema?
Nipo kwa jirani hapa, akijibu njoo uniiteMmawia ya kweli haya?
Mwenyekiti wa Chadema ndio kayasema haya!Baada ya Dikteta uchwara kuondoka MATAGA hamna content..
Mmebaki kwenda na upepo na kudandia agenda za utawala mpya ili muwe sehemu ya utawala mpya