Mikono yenye Sugu
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 133
- 215
Ulipata kujua CCM inawalipa wafanyakazi wake kwa vyanzo vipi? Je unajua CCM ilipora mali za umma kwa nguvu na kuzifanya ni miradi yake ikiwemo viwanja karibu vyote vya michezo nchini ambavyo vilijengwa kwa kodi za wananchi.?Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!!
Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara?
Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza itikadi yake nchi nzima mijini na vijijini hadi kule migodini na migombani.
Chadema walipeni wafanyakazi mishahara yao kabla Naibu waziri Patrobas Katambi hajawashukia kama mwewe.
Ijumaa kareem!
Acha ushabiki wa kipumbavu, leta hoja za maana na sio upupu wa upuuzi.