Ni aibu Chadema kutolipa Wafanyakazi mishahara kwa miezi 6 kwa kisingizio cha kukosa Ruzuku!

Ulipata kujua CCM inawalipa wafanyakazi wake kwa vyanzo vipi? Je unajua CCM ilipora mali za umma kwa nguvu na kuzifanya ni miradi yake ikiwemo viwanja karibu vyote vya michezo nchini ambavyo vilijengwa kwa kodi za wananchi.?

Acha ushabiki wa kipumbavu, leta hoja za maana na sio upupu wa upuuzi.
 
Umefura sana manka.

Miradi ya CCM inaingiza pato la tsh 60 bilioni kwa mwaka!
 
Wafanya kazi wa CCM hapa tunasuburi Mechi ichezwe ndio MAPATO tugawane kama mishahara
 
Wapinzani si walikuwa wanawachelewesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leteni maendeleo, CHADEMA wamekaa kimya ila nyie ndio mnawashwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hujawahi kumshangaa mwendazake,kwa muda wa miaka 5 hajawahi kupandisha mishahara kwa watumishi?
 
Mmawia anakesha akiliwa na mbu pale Ufipa kulinda ofisi lakini mshahara halipwi mwezi wa 6 huu.

Muoneeni huruma kijana wetu.
Hahahahaha....!! Mmawia unaitwa huku? Siku za karibuni amepotea sana hapa JF sijui ni kwa sababu ya kutokulipwa mshahara wake wa Ulinzi!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…