Ni aibu gani umewahi mfichia mpenzi wako?

Hao wanaume wa aina hiyo unawatoaga wap? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kweli watoto wengi umu...kwhyo kujamba kwa demu ni aibu?? kwn kuna hasiyejamba umu..
 
Hivi harufu huko chini hawa maden huwa hawasikiagi
Kuna manzi baada ya kuvua hali ikaanza kubadilika kupapasa hapa na pale vidole navyo vikawa kama vimesinyaa kama nimetoka kufua hivi sijui ilikuwa nini ile [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] Ungeliichomeka, ungepata tatizo la upungufu wa kiume milele na milele, au uhanithi at all
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duh! Nimecheka sana, kumbe kuna wanaume wa dizaini hiyo!??
Eti kukojoa, lazima ajambe! Pumbafu[emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ungeliichomeka, ungepata tatizo la upungufu wa kiume milele na milele, au uhanithi at all
Bruh
Kinachoniokoaga ni barakoa πŸ˜† na dem ukimuona sasa huwezi kudhania
Yule manzi hata salam kwake sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…